Kutokana na fursa zinazotolewa kwa wananchi kupitia Programu ya Imbeju, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete...
Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA
NA KUPANGA NI KUCHAGUA
Na cha kusikitisha ni kwamba…
KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua.
Kila jambo unalofanya ni uchaguzi:
– Unapochagua kulala badala...
Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa...
Nilikuwa nakaa Kigamboni kipindi hicho, miaka ya nyuma kidogo. Maisha yalikuwa ya mdundo si kwa sababu yalikuwa rahisi, la hasha! Ni kwa sababu tulikuwa tunaishi bila presha ya Instagram au...
Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali.
Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na Clounds FM. Sijui kimetokea nini siku za hivi karibuni kwa kuwa magwiji wa kipindi hiki wakiwemo Fetty...
🥺
Ukimkuta mtu anaongea peke yake mheshimu
Watoto ni kawaida, unakuta kitoto kimeshika vikopo kinaongea na kujijibu peke yake
Watu wanao ongea peke yao na kujijibu wamefanya mambo makubwa...
Kila mara naona nyuzi za watu kuuliza kuhusu ndoto walizoota, wengine wakihaha na kuogopa kile ubongo wao ilicho kitengeneza usiku wakati wamelala (kitu ambacho ni cha kawaida) ila mtu huyu huyu...
Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either
☆kuroga ili wapate kazi fulani
☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie
☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi.
☆...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna usumbufu na ubabaishaji mkubwa sana kuhusu suala zima la utoaji vyeti KIBAHA ikiwa mhusika anahitaji kufuata njia halali bila kuwapa rushwa. Lakini wale...
Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya...
Chanzo cha picha,Alok Kumar
Maelezo ya picha,Kesi ya mtoto anayedaiwa kumuuma nyoka imefichuliwa huko Bettiah, Bihar.
28 Julai 2025
Kisa cha kipekee kimejitokeza huko Bettiah, Bihar, ambapo mtoto...
Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa.
Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank?
Kesi hiko hivi,
Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita...
Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari.
Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu...
Ukiachana na TECNO SPARK 40 Kuna simu nyingine inaitwa TECNO SPARK 40 PRO ambayo kampuni ya Tecno waliweza kuitangaza kupitia page Yao ya @tecnomobiletanzania
Sasa usichokijua kuhusu simu hii...
Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe.
Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa wanaopinga fundisho la utatu yaani Mungu mmoja ndani ya watatu unaendelea kwa kasi ndani ya kanisa la Wasabato
Hivi majuzi mchungaji mmoja huko Ethiopia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.