Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ni mojawapo ya adhabu kongwe na ya kuogofya zaidi duniani... Na ndio adhabu ya juu zaidi.... Kunyongwa hadi ufe kabisa baada ya kuthibitishwa na mahakama tuhuma zako...
50 Reactions
564 Replies
73K Views
Apple inatarajiwa kutambulisha emoji mpya 8 kutoka kwenye Unicode 17.0 kupitia iOS 26 mapema kabisa mwanzo mwa mwaka 2026. Emoji hizo mpya 8 zitakuja zikiwa na muonekano wa kipekee kama ifuatavyo...
2 Reactions
5 Replies
271 Views
erikali ya Tanzania imetoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Mara baada ya Mwananchi kuwasilisha malalamiko kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu changamoto ya kukosekana kwa Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) kwa...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es...
1 Reactions
6 Replies
779 Views
Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kituo kipya cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichozinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Licha ya kufanya vizuri katika ngazi za awali za elimu, idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania wanaacha masomo yao, huku maelfu wakikatishwa masomo kila mwaka, The Citizen...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwamba mtu anakuambia huna uhalali wakukemea maovu kipindi hiki eti kwasababu kipindi flani kulikuwa na uovu hukukemea. Mwingine anakuambia eti kwasababu wewe ni chama flani hivyo huna uhalali wa...
1 Reactions
3 Replies
177 Views
Yani nilikua Naona asubuhi haifiki kwa Hiyo nikianza kufagia uwanja kusudi Mungu ata kumbuka kuachia mwanga wa jua ili madaktari waamke niende hospitali. Waliowahi kuumwa na jino nadhani wataelewa.
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Mambo yanakuwa moto pale unaposimama kwenye kundi la watu na kuanza kuzugumza ! Sasa yamemkuta moja ya mgombe wa nafasi za viti maalumu Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Sagini Jumanne Abdallah amakutana na balaa zito kwa wananchi wa Butiama, baada ya ya baadhi ya wananchi kuonyesha kutomtaka kuendelea kujinadi mbele ya wajumbe Hakika kweli wananchi mwaka huu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa...
2 Reactions
5 Replies
495 Views
Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Tangu ongezeko la tozo kwa mitandao ya simu, mawakala wengi hususani Tigo Pesa na M Pesa wamekua wakigoma mtu kutoa pesa akiwa nje ya eneo la ofisi zao. Jamaa yangu alikua anataka kunitumia pesa...
2 Reactions
46 Replies
55K Views
Katika umri wako ni kitu gani cha maana chenye gharama kubwa unachomiliki? Naanza na mimi simu ya milioni mbili. Sijui wewe.
16 Reactions
162 Replies
5K Views
Unajua wakati mwengine hawa mawakili wanachekesha sana, kweli pale utasema kasukumwa au kaondolewa. tuache kuokoteza mambo yasiyo ya msingi. Wakikili Dkt Nshala aache siasa, afanye kazi ya...
0 Reactions
4 Replies
370 Views
Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku? Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
11 Reactions
195 Replies
36K Views
Kuna mtindo umezuka siku hizi wa vijana na wanaume usiku wakishakunywa pombe na kulewa hawaendi nyumbani bali wanajilaza Kwa kulalia tumbo pembezoni mwa barabara na Mahali ambapo hamna mwanga...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Back
Top Bottom