Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet Kabla ya hii humanoid project (hii...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Huwa inatokea kuna mtu / watu mliwahi kuwa marafiki kipindi cha nyuma halafu inatokea mnakuja kukutana mindset zimebadilika u don't pair yaani hai kick tena
3 Reactions
15 Replies
488 Views
Habari za mda huu wadau. Naomba kama kuna mtu humu aliewahi kununua Gari Prestige Auto Export anisaidie kuhakiki kama hizi taarifa na account ni sahihi. Nauliza kwa Niagara ya jirani anaogopa...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Martin Pistorius, raia wa Afrika Kusini ambaye alipata ugonjwa usiojulikana akiwa na umri wa miaka 12, na baadaye akaingia kwenye hali ya coma (hali ya kupoteza fahamu) mnamo mwaka 1988. Akawa...
2 Reactions
4 Replies
404 Views
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam. Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea...
2 Reactions
9 Replies
598 Views
Kulikua na maswali mengi mazuri ya kumuhoji ndg polepole ila waandishi walituangusha hasahasa yule zungu. Nimesikitika sana
0 Reactions
18 Replies
549 Views
Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela. Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Hongereni mliolipwa kipunguni Mda ukifika na nyie mliobakia endeleen kumwamini Mungu Kifupi tu kumezuka fomu za ajabu ajabu zikisambazwa na Wajumbe mtoee 1.3mil kila anaelipwa Naomba...
0 Reactions
4 Replies
382 Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Nimekuwa nikiitumia Basi hii mara kadhaa kutokana na unafuu wa Gharama za nauli pamoja na urahisi wa kukata ticket kwa njia ya mtandao. Pamoja na matukio...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Zingatia picha na chanzo cha kipato
0 Reactions
4 Replies
618 Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao...
1 Reactions
10 Replies
839 Views
Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
SETNET Sisi ni vijana wa Kitanzania tulioamua kuanzisha app ya kisasa kwa nia ya kuwa na jukwaa la kijamii, kibiashara, kielimu na kiburudani linalotoka Tanzania, kwa ajili ya Watanzania na dunia...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi...
0 Reactions
4 Replies
373 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amemkabidhi rasmi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press...
0 Reactions
6 Replies
556 Views
Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya. Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom