Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde. Je...
2 Reactions
8 Replies
424 Views
Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Juhudi za kimwili na akili tulizonazo binadamu wote hazitoshi kuwa ushahidi wa imani ya Mungu mwenye nguvu kupita wote. Kuna Mungu na miungu. Viumbe kama miungu vina nguvu, na nguvu hiyo tunaita...
1 Reactions
4 Replies
328 Views
Anonymous
Waache kutuma jumbe zao zinazokera kila mara bila ridhaa yetu. Tabia hii inaboa sana. Huduma hizi zipo kwenye mfumo wa ESS sasa kuna haja gani kutuma jumbe zao mara kwa mara au kutembelea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Kelvin Kibenje ni Motivational Speaker kwenye ubora wake, ukifuatilia post zake kama akili yako ndogo utahisi jamaa ni genius kweli kumbe brain insight yake kuhusu reality ya biashara iko chini...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya...
2 Reactions
6 Replies
885 Views
Zipo alama ambazo umewekewa na jamii yako na alama hizo kuna wakati zinakupoteza sana. Kwa mfano, umeambiwa na kuwekewa alama kwamba wewe ni mjinga, huwezi kitu, ni maskini na pengine hufai...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli. Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO"...
2 Reactions
10 Replies
481 Views
Yaani hotel ambayo mwaka mmoja uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja wa tatu tu. Yaani hotel kubwa namna hii bei imeshuka to the minimum kabisa. R.I.P Ndanda kucheleeeee...
14 Reactions
182 Replies
27K Views
Hali sio hali huko mashinani, CCM wanachama wamerudisha kadi za chama kisa kuenguliwa wagombea udiwani.. Tukio hiili limetokea uko Mtwara wilaya ya Newala kijiji cha Mkwedu.
2 Reactions
2 Replies
440 Views
Hapo zamani za kale, katika msitu mdogo uliokuwa umejaa matundu ya panya na majani mabichi, aliishi paka mmoja mjanja na mwenye hila nyingi. Paka huyu alijulikana kama Bwana Koma, na alikuwa...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Watu watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi mkoani Kigoma. Watu hao wanaodaiwa kupanga kufanya unyang’anyi kwa kutumia silaha, wanadiwa kukutwa bunduki...
1 Reactions
13 Replies
715 Views
Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha...
0 Reactions
9 Replies
810 Views
Kwa kiswahili tafadhari
2 Reactions
7 Replies
420 Views
Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma...
0 Reactions
4 Replies
316 Views
Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea...
6 Reactions
22 Replies
817 Views
Back
Top Bottom