Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni...
Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja...
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa...
Mmiliki wa Hoteli ya kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Waliokuwa karibu na Ndg. Shebby wanadai...
Tunafahamu kwenye universe kuna sayari nyingi sana, nyota, satellite za asili, vimondo n.k
Hakuna mwenye hatimiliki ya space ni ya wanadamu wote bila kujali rangi yao
Nikiwa Rais wa Tanzania...
Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!..
Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika...
RITA inachelewa kutoa vyeti ya kifo vya wazazi, hii imekuwa changamoto kwa sisi ambao wazazi walipoteza maisha miaka mingi iliyopita, wakati huu tunapohitaji kujiunga na elimu ya juu vyeti hivyo...
Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku.
Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa...
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali...
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran...
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR.
Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika...
Its a blessing and curse in between.
Utapiga style hii, kesho itakukumbusha haujapiga style hii, kwa hio, huyo nduki unamtumia nauli aisha.
Ni nishati ya kipekee ambayo imeshikilia hatma ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa...
MONDAY MAY 24 2021
Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha.
Tafrani...
Ndugu wa-TZ wenzangu, watu wamekuwa wakishangiliwa kutokana na umaarufu wao. Hii siyo tabia iliyoanza awamu ya nne, ni tangu awamu ya pili. Wakati wa mzee rukhsa tuliposhuhudia maeneo ya wazi ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.