Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo...
30 Reactions
574 Replies
65K Views
Hadithi ya Barnaba Tillya aliyempoteza mke wake kipenzi,Irene Tillya wakati akijifungua katika Hospital ya Marangu juni 4 mwaka huu inaumiza sana. Ndiyo ni hadithi inayoumiza unapoanza...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea? Msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
619 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale...
3 Reactions
2 Replies
252 Views
Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida. Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Kwa mujibu wa taarifa za shirika la "Centers for Disease Control and Prevention (CDC)", (Areas with Zika | Zika virus | CDC), Tanzania ni moja ya nchi inayofahamika kuwahi kuwa na maambukizi ya...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Anonymous
Zahanati ya Tambukareli iliyopo Kata ya Azimio Wilaya ya Temeke - DSM, ambayo ni tegemeo kwa Wananchi wa Kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia...
1 Reactions
0 Replies
218 Views
Tuko kwenye maombi ya siku 7 kuombea wanaume wa Tanzania kinyume na roho za mauti kama tulivyoagizwa na Mungu. Leo ikiwa ni siku ya 3, haya ni baadhi ya aliyoyafunua Roho Mtakatifu katikati ya maombi.
0 Reactions
4 Replies
383 Views
Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au...
2 Reactions
8 Replies
537 Views
tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa...
3 Reactions
6 Replies
773 Views
Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi...
77 Reactions
612 Replies
40K Views
Ni balaa, Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana Dah
22 Reactions
199 Replies
17K Views
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara. Huku...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
0 Reactions
6 Replies
523 Views
Wakuu jioni hii hapa Newala(Mtwara) limetokea tukio la Jambazi mwenye silaha kuvamia kituo cha mafuta Kiduni na kupora fedha. Wakati anaondoka eneo la tukio kaua Raia mmoja, hata hivyo wananchi...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Tulikua tumeshazoea kusikia watu wanakata miti ili kutengeneza karatasi na vitu vingine, lakini Kwa wachina wamekuja na Teknolojia Yao ya uwezo wa kubadili mchanga kuwa karatasi. Katika ulimwengu...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Wiki ya mwisho wa mwezi huu hadi mwisho wa mwezi nitakuwa wilayani Tunduru ila wiki moja kabla nitaitumia mkoani Mtwara . Hongereni Sana wana Mtwara kwa uwepo wa Likud mkoani kwenu. Tambeni...
4 Reactions
12 Replies
527 Views
Basi sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo(1 Kor. 13:13). Siyo ajali kuwa orodha ya Paulo inayoeleza sifa za kitabia zinazotambulisha...
1 Reactions
44 Replies
11K Views
Back
Top Bottom