Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

🇮🇱 UNABII WA ISRAELI KURUDI NA KUSIMAMA TENA – NA ULIVYOTIMIA KIHISTORIA NA KISASA ISRAEL – TAIFA DOGO LENYE NGUVU ZA AJABU Leo tunashuhudia jambo lisilo la kawaida: ✅ Taifa dogo, lenye eneo...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
" "Hadithi ya Kutikisika kwa Ardhi isiyokuwa ya kweli katika Mathayo 27:51. Wanasayansi wa geolojia* hawajapata ushahidi wa tetemeko kubwa la ardhi linalo lingana na hilo katika historia ya...
0 Reactions
12 Replies
576 Views
Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia...
1 Reactions
8 Replies
686 Views
KWANINI NI RAHISI KUIKARIRI QURAN? Watu wengi wanaweza kuhifadhi nyimbo za Bongo Fleva, hadithi au mashairi ya Kiarabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni Neno la Mungu. Kuweza kukariri kitu...
7 Reactions
124 Replies
3K Views
Hapa duniani inakadiriwa kwamba kuna rangi takribani milioni 6 mpaka 7 ambazo zinaweza kuonekana kwa kutumia macho bila msaada wa kifaa chochote kile! Pia inafahamika kwamba rangi hizo zote...
14 Reactions
63 Replies
43K Views
Wakuu zile ziara za Rais wetu tumpendaye Samia Suluhu siku hizi zimepotelea wapi? Hili siyo jambo la kawaida kwa Mama Samia ambaye hobby ni kukwea pipa kutembea mataifa tofauti tofauti kwa ajili...
16 Reactions
115 Replies
4K Views
Habari wakuu , ikiwa nimepoteza account yangu kongwe nimekuwa mnyonge kuja na mawazo yangu tuyawazue ndugu wa jumbe , Endapo moderators mkiona uzi naombeni pia msaada nimiliki tena account yangu...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu . Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi...
1 Reactions
3 Replies
420 Views
KTK KUZIMA.MADA YA KUPULIZA GESI IKAJAA NA KUHODHI MAGARI YA GARAMA LEO MAMA MCH KAPEWA UXHUNGAJI NA YEYE Mama pt congratulations
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini...
2 Reactions
3 Replies
906 Views
Wadau napenda kuuliza juu ya kilipoishia na kiliishaje kipindi hiki bora kilichokuwa kikiendeshwa na Mzee Simbeye cha This week in Perspective kilichkuwa TBC kila alhamisi kama sikosei. Je ndiyo...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Mimi Muungwana Kwa heshima na taadhima, najitokeza mbele ya jamii ya wanafalsafa, wasomi, wanasayansi, waandishi, wanafikra, na watafutaji wa kweli, kuwasilisha tamko langu rasmi la kujitunuku...
2 Reactions
9 Replies
573 Views
Baada ya kuja mwendokasi wataziondoa dala dala za gerezani kkoo,mbande kkoo,kisemvule kko yale maeicher ya kisemvule YOTE wataamuru yaishie Mbagala mbande pia wataamuru mwisho Mbagala sasa haya...
2 Reactions
16 Replies
932 Views
Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima! Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa...
2 Reactions
29 Replies
10K Views
Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za...
1 Reactions
1 Replies
648 Views
Miongoni ya kazi ngumu na inahitaji uvumilivu ni kazi ya Uandishi wa Habari Moja ya kiongozi wa CCM amegoma kujibu maswali ya waandishi wa Habari kuhusu mchakato wa kura za maoni CCM. Mwishowe...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…