Hata kama kuna changamoto ya milika haingii akilini geti lililo bize kuliko mageti yote kwa kupisha Watalii eti halina simu.
Ukitaka kupiga simu ni hadi utafute simu za watu binafsi na kwa kuwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo na Muhimbili (MOI) imetii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi...
"Kwenye kinyang'anyiro hakikisha hakuna mtoto wa waziri au aliyewahi kuwa waziri na kinyume chake"
Kuna jamaa yangu hapa amenipa kibarua cha kumfuta machozi baada ya udiwani kwenda na maji 😭😭😭 !!!
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine
1. Aziz
2 .6(Marehemu)
3. Edward (Marehemu)
4. Mzee wa Msoga
5. Makamu mtarajiwa
6. Amos
7. Mzee wa tai ya...
Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba...
Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha.
Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe...
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo...
Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia...
Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni...
Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF.
Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye...
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu...
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga...
Mheshimiwa Anthony Mavunde,
Nitumie nafasi hii kukupa salamu na pongezi kwa jitihada zako kubwa katika kuimarisha maisha ya vijana wa Dodoma kupitia nafasi yako ya uongozi.
Mimi ni kijana mkazi...
Habari wana JamiiForums!
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi...
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo.
Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11.
Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria,
Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze?
Ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.