Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja...
0 Reactions
3 Replies
340 Views
Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia. Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
2 Reactions
17 Replies
779 Views
Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi. Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo. I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha...
8 Reactions
183 Replies
4K Views
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye...
7 Reactions
20 Replies
13K Views
YAH. KUIUA NA KUIFUTA KATIKA KAZI ZANGU KAMPUNI YANGU YA MUSICPRESS Nimefuta(edit) na kuondoa kabisa logo na jina MUSICPRESS katika Nyimbo zangu zote audio na video na pia nimefuta na kuondoa...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua...
1 Reactions
6 Replies
615 Views
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masijala Kuu, Mhe. Elimo Daniel Massawe, amesema Mahakama inatambua mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia na Vyama vya Wanasheria katika kupaza sauti za wananchi...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Muonekano mzuri city center - Mwanza Barabara - Dodoma Maji - Mbeya Huduma za Serikali - Dodoma Utalii - Arusha Vyuo - Mbeya Malls na supermarket - Mwanza Usalama - Dodoma Huduma za Afya - Mbeya...
5 Reactions
21 Replies
954 Views
Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Navyojua MDAs means: M--Ministry D--Department A-- Agencies na LGAs means: L--Local G--Government A--Authorities. Sasa naomba kufahamu wafanyakazi waliopo chini...
1 Reactions
6 Replies
15K Views
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima ya nanenane wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa...
1 Reactions
8 Replies
542 Views
Huu ni ushauri kabisa maana nimevumilia nimechoka kabisa ndugu zangu yaani vituko ambavyo wake zenu akiwa nyie hampo vinatia shaka kiukweli wakuu Wanawake wanajirahisisha huku mahospital kwa...
17 Reactions
82 Replies
5K Views
Leo tungeona maajabu kwani wagombea wote waliokatwa kinyume na matakwa ya wananchi iwe ndani ya CCM au vyama pinzani basi wangesimama kivyao na wangeshinda kwa vishindo. Hii ndiyo njia pekee ya...
1 Reactions
5 Replies
285 Views
Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Salam,wanajamvi. Kwanza it is very unbelievable mpaka dakika hii kwamba,our beloved ambassador has gone awol.Najiuliza maswali mengi sana.Kwanza mpaka dakika hii,yuko wapi?,je ni nini hatma...
1 Reactions
3 Replies
338 Views
Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi...
1 Reactions
2 Replies
345 Views
KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA...
1 Reactions
9 Replies
745 Views
Back
Top Bottom