Mchungaji Maboya: Mungu haweki agano na maskini

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
249
Reaction score
339
Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima!

Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa neno la Bwana kwenye moja ya ibada zake huko Kenya alisema:

" Mungu haweki agano na maskini, kwa maana maskini hatabiriki, anaweza kubadirika wakati wowote". Na baadae akaendelea:

" Mapepo humwogopa mtu mwenye pesa, kwa kuwa anapomsaidia mtu anaombewa kila wakati; asubuhi,mchana hadi jioni. Mapepo hayapendi kukaa sehemu isiyotulia......Money is power".

Ni kweli haya maneno ya huyu mtumishi wetu wa Mungu?

Back to Dodoma.
 
Kwanza umemvunjia 'heshima' mwenyewe huwa anajiita 'Mtume' Danstan Maboya..

Kuhusu mafundisho yake, hebu kuwa mpole Mkuu utajipa presha ya bure tu! Hizi imani siku hizi kila mtu na lwake.. Wewe huoni gwajima anavyojaza watu kwa miujiza ya kurudisha 'misukule'! Sasa jiulize kama hata hilo neno umewahi kuliona kwenye biblia au nabii au mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kurudisha 'msukule'!!

Kila mtu abebe msalaba wake, kila mtu aamini anachotaka! Ukitaka kufuatilia sana utaacha hata kusali. Maana hali inatisha, watumishi wanajiita hadi 'Mtume wa fedha', yule nabii wa kule mwanza anjiita Nabii Malisa yeye anayo miujiza hadi ya kuwaongezea watu Salio 'tigopesa'..

Hii ndio imani Mkuu, ndio maana Kiranga yakamshinda [emoji1]
 
Anasema "mwenye hela anazo connections"..
 
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
@ Kawagawie maskini mali zote kisha unifuate.
@ mwanamke huyu maskini na mjane ametoa zaidi kuliko wote maana ametoa vyote alivyonavyo lakini wengine walitoa ziada ya mali zao.
Heri waliomaskini wa roho maana.....
Hiyo ni mistari michache inayoonesha jinsi Mungu anavyothamini maskini
Je,kuna mistari yoyote Inayosimamia hayo mafundisho ya huyo nabii??
 
Neno la Mungu lipo, ila kila kukicha watu wanamfuata sijui askofu, mtume,mchungaji gani
 
sasa na wewe huoni jina lake??MABOYAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kwanza umemvunjia 'heshima' mwenyewe huwa anajiita 'Mtume' Danstan Maboya..

Kuhusu mafundisho yake, hebu kuwa mpole Mkuu utajipa presha ya bure tu! Hizi imani siku hizi kila mtu na lwake.. Wewe huoni gwajima anavyojaza watu kwa miujiza ya kurudisha 'misukule'! Sasa jiulize kama hata hilo neno umewahi kuliona kwenye biblia au nabii au mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kurudisha 'msukule'!!

Kila mtu abebe msalaba wake, kila mtu aamini anachotaka! Ukitaka kufuatilia sana utaacha hata kusali. Maana hali inatisha, watumishi wanajiita hadi 'Mtume wa fedha', yule nabii wa kule mwanza anjiita Nabii Malisa yeye anayo miujiza hadi ya kuwaongezea watu Salio 'tigopesa'..

Hii ndio imani Mkuu, ndio maana Kiranga yakamshinda [emoji1]
Hao matapeli tu hawana lolote.
 
Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima!

Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa neno la Bwana kwenye moja ya ibada zake huko Kenya alisema:

" Mungu haweki agano na maskini, kwa maana maskini hatabiriki, anaweza kubadirika wakati wowote". Na baadae akaendelea:

" Mapepo humwogopa mtu mwenye pesa, kwa kuwa anapomsaidia mtu anaombewa kila wakati; asubuhi,mchana hadi jioni. Mapepo hayapendi kukaa sehemu isiyotulia......Money is power".

Ni kweli haya maneno ya huyu mtumishi wetu wa Mungu?

Back to Dodoma.
Huyo mchungaji nishawahi kwenda kanisani kwake hana lolote tu huyo ni tapeli mara sijui ooh tapika uondoe masumbuko sijui tapika uachilie mapepo yaani ni usanii na upuuzi tu.
 
No many no connection with God

Amjajiuliza kwanini wanaodondoka NA mapepo wengimasikini ukweli unaumia sababu yule tajiri anakuwa anaombewa NA watumishi wengi kila wakitakakugusa wanakutana NA moto
 
Kwa wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe, Tumfisu Yesu Kristo, Mapendo......Kwa wale wenzetu pia amani iwe kwenu daima!

Ndugu zangu, Kuna mchungaji mmoja anayeitwa Maboya Danstan wakati akitoa neno la Bwana kwenye moja ya ibada zake huko Kenya alisema:

" Mungu haweki agano na maskini, kwa maana maskini hatabiriki, anaweza kubadirika wakati wowote". Na baadae akaendelea:

" Mapepo humwogopa mtu mwenye pesa, kwa kuwa anapomsaidia mtu anaombewa kila wakati; asubuhi,mchana hadi jioni. Mapepo hayapendi kukaa sehemu isiyotulia......Money is power".

Ni kweli haya maneno ya huyu mtumishi wetu wa Mungu?

Back to Dodoma.
Ukweli wa maneno ya Mungu hupimwa kwa Neno yaani BIBLIA.
Hivyo maneno yoyote yenye ushawishi kama hayatokani na Neno la Mungu ni batili...pima mwenyewe
 
Ingekuwa kweli basi Yesu Kristo nayeye angezaliwa kwa wazazi matajiri, labda hata kwenye ukoo wa kifalme... imekuwaje sasa akazaliwa na Bikira Maria ambaye alikuwa kachumbiwa na Joseph Seremala??
 
Kwanza umemvunjia 'heshima' mwenyewe huwa anajiita 'Mtume' Danstan Maboya..

Kuhusu mafundisho yake, hebu kuwa mpole Mkuu utajipa presha ya bure tu! Hizi imani siku hizi kila mtu na lwake.. Wewe huoni gwajima anavyojaza watu kwa miujiza ya kurudisha 'misukule'! Sasa jiulize kama hata hilo neno umewahi kuliona kwenye biblia au nabii au mwanafunzi wa Yesu aliyewahi kurudisha 'msukule'!!

Kila mtu abebe msalaba wake, kila mtu aamini anachotaka! Ukitaka kufuatilia sana utaacha hata kusali. Maana hali inatisha, watumishi wanajiita hadi 'Mtume wa fedha', yule nabii wa kule mwanza anjiita Nabii Malisa yeye anayo miujiza hadi ya kuwaongezea watu Salio 'tigopesa'..

Hii ndio imani Mkuu, ndio maana Kiranga yakamshinda [emoji1]
Mwl Mwakasege huwa anasema "soma biblia yako utaona ukweli" . Nadhani ukisoma biblia ina majibu yote na utajua hawa manabii na mitume wa siku hizi kama ni wa kweli au kimeo.
 
Bible na Quran ndo msema kweli....hawa watu wasituchanganye sisi.
 
Alisema "hayapendi kukaa sehemu iliyotulia"

"Masikini hatabiriki anaweza nunuliwa muda wowote"

"Lzm akufanikishe kwanza ndipo afanye agano na ww"

Anasema"tajiri anapomsaidia mtu anasema ,yule maskini amasema Mungi akubariki kwahiyo anapokea baraka"
Ss akisaidia watu kumi kwa cku?

Alisisitiza kutoa kuliko kupokea.

Mimi binafsi nilimuelewa
Mwny clip aiweke hapa
 
Back
Top Bottom