Mwanao ni hazina ya thamani kuliko vitu vyote ulivyonavyo katika huu ulimwengu wa kimwili. Ukimlea kwa maarifa, atakuletea baraka maishani. Lakini ukimlea kwa uoga, kwa kumficha ukweli, na kwa...
Whatsapp sasa ni balaa itaweza kuwaruhusu watu kuweza kuwasiliana na watu wengine ambao hawatumi Whatsapp.
Feature hii mpya inaitwa "Guest chats" itaweza kuruhusu watu kuweza kufanya mawasiliano...
Na Einstein Thought
Imewahi kukutana na maelezo kama vile "Ninakupenda kutoka moyoni mwangu", au "moyo wangu umejawa na mapenzi kwaajili yako" au labda " Ninakupenda kutoka ndani kabisa ya...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani...
👇👇👇👇👇👇
Neuro-Linguistic Programming (NLP) ni mbinu ya mawasiliano, maendeleo ya binafsi, na tiba ya kisaikolojia iliyoanzishwa miaka ya 1970.
Inagawanyika kwenye vipengele 3 vya msingi:
1...
Salaam,kwa sasa uwekaji wa NGUZO hapa Dar umeishakuwa kero yaani zinaharibu show ya jiji,kwanini makampuni yenye hizo nguzo yasishirikiane kushare nguzo moja ibebe waya zao zote? Mnaosimamia hili...
Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k.
Mama ndie...
Tanzania imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya kimataifa ya 97 ya kilimo na biashara yaliyofanyika Lusaka, Zambia kuanzia tarehe 29 Julai hadi 4 Agosti 2025.
Tanzania imetangazwa kuwa...
NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY
KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU...
Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane...
Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300,
Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi,
Kuna shida gani?
Je, inadharura?
Jamiicheki tusaidieni tujue.
India na UK hutumia mfumo wa bunge (Parliamentary System)
Katika mfumo huu, Waziri Mkuu ndiye kiongozi mkuu wa serikali na huwa na madaraka makubwa ya kiutendaji kuliko Rais (ikiwa yupo)...
Kumekuwa na mwendelezo wa watu kushangilia pale anapofariki kiongozi. Mwendelezo huo umeonekana kwa Job Ndugai, aliyewahi kuwa spika wa bunge la Tanzania.
Sababu kuu ni siasa peke yake au kuna...
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika...
Wakuu wajuzi wa mambo hawa wanamgambo wanasemekana ni waasi na wako oppose na jeshi la serikali ila kwenye tovuti Yao wanajinasibu wanafanya operation zao under chief military na pia Wana support...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.