Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yeah , muwaonee pia huruma familia ya wale watanzania wawili waliouliwa huko gaza ikiwemo Kijana Mollel
1 Reactions
9 Replies
439 Views
Vuta nikuvute vilio na simazi vimesikika kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini ikiwemo Jangombe Lofi, Michenzani na Kisonge mara baada ya kuvunjiwa Vibanda na Maduka yao na sehemu za...
1 Reactions
5 Replies
645 Views
Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu. Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama...
0 Reactions
3 Replies
251 Views
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha...
6 Reactions
90 Replies
7K Views
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina na Omary amefariki baada ya kujirusha kwenye treni eneo la Ubungo Maziwa baada ya kudaiwa kumua mke wake Mwanahamisi Mjeshi. Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa...
8 Reactions
78 Replies
7K Views
Mfanyabiashara wa Miamala ya Kifedha alinayefahamika kwa jina la Method Asheri Mkazi wa Mtaa wa Majengo Mapya Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amevamiwa na Watu wasiojulikana Kisha kuporwa begi...
1 Reactions
13 Replies
718 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Qatar imekuwa ikishirikiana na Muslim Brotherhood kwa miongo kadhaa. Sheikh Yusuf al-Qaradawi, mwanatheolojia mwenye ushawishi mkubwa na mfuasi wa Muslim Brotherhood, amekuwa na uhusiano wa...
0 Reactions
5 Replies
344 Views
.
7 Reactions
18 Replies
814 Views
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
1. MUONGOPE SANA MTU ANAYEWEZA KUMKANA MTOTO WAKE KWA AJILI YA MAHUSIANO wapo watu hudiriki kuwakana watoto wao kwa ajili ya mahusiano au kuwaficha watoto hataki kusema kama ana watoto au anamkana...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
3 Reactions
13 Replies
777 Views
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili? Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa...
5 Reactions
9 Replies
747 Views
Hili siwezi kukaa nalo lazima niliseme maana alihitaji uelewa zaidi wa kibobezi. Mimi nafanya harakati zangu za kutafuta riziki mitaa ya Kariakoo sasa nina mwaka mmoja na miezi kadhaa lakini kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ