Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ahsante Mh. Japho unafanya kazi nzuri, angalizo weka mkazo wawekezaji wasije tu kutumia mali ghafi na chieap labour halafu wanaandike bidhaa main in China au sehemu nyingne kama kimetengenezwa...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
"Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa...
2 Reactions
10 Replies
669 Views
TANZANIA imebahatika kuwa na hifadhi 21 za Taifa zenye vivutio mbalimbali vya utalii ambavyo baadhi havipatikani katika hifadhi za nchi zingine Afrika Mashariki na kwingineko. Hifadhi ya Taifa ya...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Dk mwinyi kutembelea fumba ambapo uwanja WA KISASA utajengwa KULE ni nooouma. Bara ukiacha ARUSHA na Dodoma inabidi ipate viwanja vingine WALAU. Dk mwinyi HUYU aje bara nawambia maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia...
0 Reactions
6 Replies
474 Views
Anonymous
Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA mtandaoni haufanyi kazi. Kila Receipt Verification Code inayowekwa inaonyesha “risiti haitambuliki”. Kama risiti haziwezi kuthibitishwa, imani yetu katika jinsi...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
2 Reactions
3 Replies
524 Views
Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa...
0 Reactions
3 Replies
288 Views
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923. Kwa bahati mbaya hatuna sokoni tafsiri hii...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya...
15 Reactions
80 Replies
2K Views
Wakuu, Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35 Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute...
1 Reactions
5 Replies
727 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika...
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa. 1. Dar es Salaam 2. Mbeya 3. Arusha 4...
36 Reactions
174 Replies
7K Views
1. Mbinu ya “Chaguo la Uongo” (False Choice Trick) Mfano: “Ungependa tukutane saa 9 au saa 11?” Kwa nje inaonekana ni wewe unachagua, lakini kisaikolojia chaguo zote mbili zinampeleka mpangaji...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/ Updates Polepole Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Huyu mzee alikuwa mtu mzuri anayeheshimika na kujiheshimu kipindi cha nyuma. Alipoanza ukuu wa mkoa Tabora alianza vizuri. Baadaye akawa ni mtu anayefoka foka sana na kuwa ona watu wa Tabora si...
46 Reactions
140 Replies
26K Views
Kulingana na majukumu ya kimataifa kuiwakilisha nchi yaTanzania katika nchi mbali mbali, Kuanzia tarehe 14/11/2018 hadi tarehe 05/03/2019 ntakuwa nchini Thailand Bangkok kutimiza majukumu ya...
1 Reactions
115 Replies
12K Views
DR. BASHIRU~Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi, wameiba magari, wameiba ardhi. Ukiwaskia nje wanabwatuka...
11 Reactions
45 Replies
9K Views
Back
Top Bottom