Naomba kuuliza je? Haya makaburi ya kujengea uimara wake yatadumu muda gani?
Mm nimeshuhudia maranyingi makaburi ya zege ila nina mashaka na uimara wa hizo zege mkumbuke kaburi ni la milele.
Mm...
Personally. I agree with him.
( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment)
Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais
Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana...
===
Akiongea na wanahabari mkuwa mkoa wa Tabora amesekuwa Chini ya Rais Samia uzalishaji wa asali Tabora umeongezeka kutoka tani 1,800 mwaka 2020 hadi Tani 2,000 mwaka 2025
Kupitia filamu ya...
Marehemu baba yetu alifariki 2006 kipindi hicho Mimi nilikuwa Niko darasa la sita, baada ya kumaliza la Saba 2007 nilifanikiwa kufaulu kujiunga na kidato Cha kwanza, ila kaka yetu wakwanza kipindi...
1 Palikuwa na mtu, jina lake Yoakimu, akikaa Babeli,
2 naye ameoa mke jina lake Susana binti Hilkia, mwanamke mzuri sana na mcha Mungu.
3 Wazee wake nao walikuwa wenye haki, pia wamemfundisha...
Kabla ya kuwalaumu wanasiasa kwamba wanawabeba ndugu au watoto wao kwenye nafasi za kisiasa au serikalini jiulize kama wanaobebwa wana sifa na vigezo kuwepo kwenye nafasi hizo. Binafsi ninakubali...
[Luk22:1]Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Sikukuu ya Pasaka.
[Mat26:3]Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa baraza, wakakusanyika katika a Kuhani Mkuu, jina lake...
Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya...
Disclaimer: Chapisho hili ni kwa madhumuni ya mjadala wa kujifunza na kuelewa tofauti za maendeleo ya kiuchumi kwa jamii zetu, bila kuleta chuki, kupotosha au kushambulia.
Ni jambo lililo wazi...
==
Katika taarifa yake kwa wanahabari mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa soko la kisasa katika Halmashauri ya Mji wa...
Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu,
Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana...
Vijana zaidi ya 200 kutoka mikoa mbalimbali nchini wamekutana leo, Agosti 11, 2025, katika Makumbusho ya Taifa, kwa ajili ya uzinduzi wa Ilani ya Vijana 2025/2030. Ilani hiyo inalenga kuongeza...
🗯️ Kuna tetesi zinasema toleo jipya la Simu toka Google yani Google pixel 10 series hazitakuwa na sehemu ya kuweka Sim Kadi kabisa.
🗯️ Simu mpya za Google pixel 10 series wameamua kuwekeza nguvu...
Pablo,
Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya...
Nilikuwa najiuliza swali hivi hao gen z huwa wanapanga wapi mambo yao? Je ni kikundi kinacho fadhiliwa na kigogo fulani? Nani Yuko nyuma yao. Je chai zinazo gawiwa kwa gen z ni kigogo ndo...
Kusomesha Watoto kwenye Shule za Gharama Kubwa – Ulimbukeni, Kuendana na Wakati, Faida au Hasara?
Katika jamii nyingi za Kitanzania leo, kuna ongezeko kubwa la wazazi wanaowapeleka watoto wao...
Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.