๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,623
Simu balaa_20250810_212005_0000.png

๐Ÿ—ฏ๏ธ Matumizi ya simu yamekua sehemu moja wapo muhimu kwenye maisha yetu lakini kuna baadhi ya simu ukitumia unajikuta unachukia kwa namna moja au nyingine na kupelekea kujuta kwanini ulinunua hii simu.

๐Ÿš€ List za simu hizo ๐Ÿ‘‡
โœ”๏ธ LG G3 styuls
โœ”๏ธ The Nexus 6
โœ”๏ธ Galaxy Nexus
โœ”๏ธ Samsung Galaxy A04 & A04e
โœ”๏ธ Iphone SE 3
โœ”๏ธ RealMe 14x 5G
โœ”๏ธ Vivo v30e
โœ”๏ธ Samsung Galaxy M55
โœ”๏ธ Redmi A4 5G , Redmi Note 14 Plus
โœ”๏ธ Google Pixel 5a & 5
โœ”๏ธ Samsung Galaxy A36 5G
โœ”๏ธ Samsung Galaxy S25 Edge
โœ”๏ธ Google Pixel 9 series

๐Ÿ—ฏ๏ธ Simu hizo zinachangamoto kadhaa, kuanzia betri zake hazikai chaji nyingi, software zake zinasumbua update, kamera zake sio nzuri, zinapeleka chaji pole pole, zinapata sana joto , speaker zake sio nzuri nk.

๐Ÿ”บ Kama unahitaji kumiliki simu nzuri basi sio lazima mwaka huu ukamiliki simu hizo unaweza kuachana nazo ๐Ÿƒ.
 
View attachment 3437827

Umemwachaje Huawei
 
Naongezea SAMSUNG S22utra

Hii simu inachangamoto ya software
 
Back
Top Bottom