Hivi haya majibu Yako sahihi?

Hivi haya majibu Yako sahihi?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,747
Reaction score
24,524
Majibu mepesi kwa maswali magumu.
Una maoni gani?
 
Ostaadh kawajibu vizuri sana...usiwape jibu la kuwachanganya watoto..walikua watachanganua wenyewe
 
Ostaadh kawajibu vizuri sana...usiwape jibu la kuwachanganya watoto..walikua watachanganua wenyewe
Jibu la kuchanganya ni kama lipi mkuu?

Watoto wazuri wameuliza swali zito, ilibidi wapewe majibu mazito kulingana na maswali Yao.
 
Back
Top Bottom