Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari. Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete, kuna wakati baadhi ya watu walimwita ni dikteta, yeye akajibu kwa kuwauliza kama hao wanaosema kuwa yeye ni dikteta, wanaelewa maana ya udikteta. Akawauliza...
1 Reactions
16 Replies
867 Views
Ni mada ya kiroho lakini itakayoanzia kimwili, Hi yo inaweza kuwatatiza wengine! Pili mifano nitakayotoa ni halisi na ikibidi nitataja majina halisi ili watu wapate kuelewa vema.. . Kuna aina...
22 Reactions
80 Replies
5K Views
Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika zama hizi ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakitafuta kazi, wapotoshaji nao hawapo mbali kuitumia fursa hiyo ili kufanya ulaghai. kumekuwa na matangazo mbalimbali ya kazi yanayotolewa na...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Habari waungwana,karibuni tufanye biashara ya viatu vya ladies hill...kuazia nchi 1,2,3,4,5 hadi 6....tunapatikana kinondoni mkwajuni...tunauza kwa rejarejaa @25000,na jumla kuazia pr 10 tunafanya...
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kuwa kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya kwa kushirikiana na jamii, wameweza kupambana na...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Agosti 13, 2025 Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kipindi cha kampeni hadi uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025. Mafunzo hayo...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Watoto 50 walionusurika katika ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watoto watano wa kike katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Igambilo, Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, wameendelea...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi. Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii. Akizungumza na Wajumbe wa...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa, na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa. Mara nyingi sana...
1 Reactions
1 Replies
570 Views
WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE...
4 Reactions
17 Replies
642 Views
Nimefika Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho ambapo pia kuna Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, nimekuta kuna nyomi la hatari la abiria wakisubiri usafiri wa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ikiwapendeza wabunge wetu watunge hii sheria. Iwe kosa kuombwa hela na mwanamke ambaye sio mkeo. Iwe ni sawa na shambulio la aibu kwa mwanaume. Iwe kosa kisheria. Hali ni mbaya sana mtaani kwa...
10 Reactions
27 Replies
956 Views
Sawa, wadada wamekuwa kisirani sana ila vidume nao wamekuwa wakaidi sana. Sawa, wadada wamekuwa mayai sanaa ila vidume nao wamekuwa wadhaifu kupindukia. Mtoto anaishia kujifunza solution za...
0 Reactions
2 Replies
331 Views
Wadau hamjamboni nyote, JIBU: Hakika ni kuwa meno ya dhahabu yanaweza kuwekwa na Muislamu kwa dharura inayokubalika kisheria. Hii ni kwa mujibu wa Hadiyth iliyosimuliwa na Arfajah bin As‘ad...
2 Reactions
11 Replies
535 Views
Back
Top Bottom