kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) hii ina maduka 2000 na pia inatarajiwa kuwa Centre ya biashara Africa Mashariki
Pale nilikwenda na familia siku ya jana aiseee wachina wamejitahidi mno, wabongo waliofungua biashara hapo wamejitahidi mnoo
In fact hii biashara ni win win maana mtu yoyote unaruhusiwa kuwa frame pale.
Nilichojifunza pale patakua na mvuto pekee ikiwa wanasiasa na serikali hawatoingia kati, maana wanasiasa hususan wa CCM na serikali na TRA wamekua ndo maadui wa biashara na ustawi wa biashara na maendeleo ya Mtanzania mmoja.
Tatizo pale patakua pazuri vitu bei chee watu watasomba vitu watauza, vijana watajiajiri sana na watapata faida shida serikali au kichaa mmoja atakuja kuona wivu ataanza kuleta maushuru ya kijinga au tozo.
Yaani sisi kwa sisi ndo tunaongoza kwa kuua nchi yetu, hatutaki ushindani, ukitaka kuamini angalia REA umeme wa 27k, nguzo bure, umeme ulipangwa kushushwa bei, ishu za mafuta kushuka, kujengwa kwa kituo kikubwa cha kusafishia mafuta ghafi East Africa na kati na sisi ndo tungekua kama third party ya kusupply mafuta nchi jirani ,kushusha bei za gesi....Haya yote niliyotaja hapo yalikuja kuingiliwa na watu wenye tamaa za kijinga, wanasiasa walafi mwishowe yakakoma au yakafutika kuanzishwa.
Hili la East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) ni suala la mda tu, wanaanza vizuri but later kuna mtu atakuja kukurupuka na kuharibu tu.