Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huduma za Kibingwa na Kibobezi za Uchunguzi (vipimo vya MRI, CT- Scan, X- Ray za Kidijitali na Ultrasound) zinapatikana MOI masaa 24 siku 7 za wiki, karibu tukuhudumie.
3 Reactions
9 Replies
506 Views
Huwa najiuliza matapeli wanaoiba na kutapeli WATU huwa hawaogopi karma ?
7 Reactions
27 Replies
984 Views
Acheni hayo mambo ya dini .Nchi yetu ina uhuru wa kuabudu. Wahusika wajirekebishe Uzi tayari.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Ili kulinganisha mizani nyie majina yenu ni; Forbidden Fruit Eater Samson Hair cutter John the baptist Head requester Joseph seducer Snake language translator
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo umetolewa leo Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Kwa wasiofahamu Watanzania wa twitter mwaka 2019 waliwahi kukusanyika kufanya ToT bonanza, hili ni jambo la kushangaza kidogo ukizingatia wengi wao hata hawajuaini na wala sio ndugu, ila waliweza...
4 Reactions
15 Replies
468 Views
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu mama anasumbua sana unapokaribia muda wa kulipa rent. Hashindwi kupiga simu Saa Kumi Alfajiri, na kutuma SMS nyingi kama mvua hata kabla muda haujaisha anakukumbusha kulipa pesa. Na kwenye...
3 Reactions
0 Replies
227 Views
Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Raha ya starehe, ifanye usimkere mwenzio, lakini kwa kinachofanyika Sinza, ni kukiuka mipaka ya starehe. Kila siku zinavyozidi kwenda, baa zinazidi kuota maeneo ya Sinza na nyingi zipo kando...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu Waziri anataka Gaza kutumwe makombora sio misaada wala vyakula. Kazi ipo😂 https://youtube.com/shorts/y9-ACGCC3_U?si=ZoKtcHK229YwfZn4
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, Agosti 19, 2025, imeendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Meru mbele ya Hakimu...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila...
14 Reactions
88 Replies
6K Views
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja mpaka ulipie.. tena Bima ya mwajiriwa Au labda package kachagua ndogo
3 Reactions
5 Replies
411 Views
Daladala inakuja kituoni unakuta mzee anagombania mlango kuwahi siti alafu cha ajabu anashuka kituo cha 10. Kugombania siti kwa mzee kunawafanya wadharaulike na vijana ndo maana kijana akimuonq...
2 Reactions
13 Replies
855 Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Muache mtoto aumie sio kwamba muwatese ila mazingira yawatengeneze kuwa bora zaidi .
1 Reactions
0 Replies
433 Views
Wahuni wamepiga zaidi ya Trillion 1.2 kwenye biasahara ya Carbon hiyo ni kwa mwaka mmoja na nusu pekee. Wamasai hawakuwa wanahamishwa bure bure.
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Kwa nini wazee wengi wanakimbilia kazi ya ulinzi ??
1 Reactions
5 Replies
311 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…