Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana...
Wiki Moja iliyopita NILILIPIA BIDHAA kutoka Amsterdam mtandaoni, lakini KIASI kama KILE nilicholipia wamekishikilia. Yaani sitaweza kutoa eti mpaka wakamilishe muamala kwa upande wao huko (Kwa...
Kwanza kabla ya kuanza story...nitoe big up kwa IBRAH THE HUSTLER wa ukoo flan Mau Mau. Moja ya mabroo wenye roho nzuri sana..nje ya maisha ya mziki. Nitoe big up pia kwa home boi mwenye roho ya...
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID.
Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA...
Salamu kwenu nyote.
Kikwetu tunasema, “ndege asiyeruka hawezi kujua wapi ulezi umekomaa”.
Leo ninapenda kuwapa ABC za namna ya kufika nchi za wenzetu kwa wale wenye ndoto za kubadili mazingira...
Salam wanajukwaa,
Hivi karibuni Serikali kupitia UTUMISHI wametoa waraka mpya unaofanya marekebisho ya kimuundo na mishahara kwa baadhi ya kada ikiwemo Afisa Rasilimali Watu na Maafisa Tawala...
Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani?
Deep State
Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri?
Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama...
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na...
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo -...
Mfumo wa Tausi, Tamisemi ulipozinduliwa nilifurahi sana maana nilijua utatatua changamoto nyingi ikiwemo ununuzi wa viwanja kwa njia ya kielektroniki
Ununuzi wa viwanja umekuwa tangu zamani...
Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4.
Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali...
Salama wanajukwaaa.
Leo nataka kuwashauri TAKUKURU.maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu.
Unaangalia ukijua ni ujumbe wa maana kumbe ni wa akina TAKUKURU.
KAMATENI Wana CCM...
TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa...
Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua mifugo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la...
Nasemea kwa mfano china plaza..
Ubungo plaza
Mengine naona mpaka jina la mtu alafu mwisho neno "plaza "
Hivi hili neno plaza hua lina maana gani naomba kujuzwa
Mawazo ya binadamu siyo kama awazavyo Mungu wa mbinguni
Wale maajenti labda kama wangemsaidia Meddy huenda Mwendokasi ingejaa zaidi upande huu wa Bilionea Msacky lakini ndio hivyo tena waende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.