Rostam ajivua Gamba mwenyewe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam ajivua Gamba mwenyewe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tizo1, Jul 14, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Rostam ameamua kuliacha wazi jimbo la igunga,na pia kujitoa katika baraza kuu ka NEC.Mpaka sasa Igunga hawana mbunge.
   
 2. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Sasa namshauri aende mahakamani kukanusha shutuma zote alizotuhumiwa vinginevyo itakuwa usanii?
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  sio kwamba yeye alikuwa ndiye gamba? sasa mbona sielewi pale gambalinapojivua gamba!!? tueleweshane wana jf
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  safi sana ila itakuwa vzur zaid achukuliwe hatua asiishie hapo mana haitosh na hcho co kigezo
   
 5. I

  Isso Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kajivua gamba lakini fedha zetu je? hii ni sawa na mtu aliye funika kinyes bila kukizoa tunategemea zaidi ya kujuvua gamba
   
Loading...