SIRI imefichuka! Kumbe yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi wa umeme wa nyumbani...
Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia...
Serikali ya Samia Kupitia Ruwasa imefanikiwa kufikisha maji kwenye Vijiji vyote Tanzania zaidi ya 12,318 kasoro vijiji 1,500 tuu yaani zaidi ya Vijiji 10,800 vimefikiwa na maji ya Bomba.
Kazi...
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE!
Fuatana nami
Dr *MAGICAL POWER *
Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?"
Na je, nini ulikuwa...
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati...
Wakuu hamjambo??
Niende Moja kwa moja kwenye mada...Mimi nipo Kanda ya ziwa nilikuwa nafanya kazi sehemu kwa bahati nzuri nilijikusanya kwa mshahara wa 400,000 nikafanikiwa kununua pikipiki...
Kwanza kumepeleka mtoto kusoma shule ya mbali wakati mnapo kaa kuna shule hapa nawa gusa wale wanao somesha shule za sogea tukae pia ata hao wanao somesha st nao bado una muaminije. Boda...
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
Wakuu,
Ya Mungu mengi,unaweza kutekwa au kuuliwa kutokana na mada au replys zako humu,kwa vile umeenda kinyume na mfumo fulani.
lakini mke wako/mume wako anajua kuwa unatumia mtandao huu ambao...
Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani
Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako...
Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa achana na kitu kinachoitwa Bayport.
Hawa ni matapeli kuliko unavyodhani.
Hawa hawapo tayari uwalipe deni lao uwaache, watakuganda kama luba...
Enzi hizo baba angu alikuwa analangua kwa muhindi kariakoo.
Huyo muhindi alikuwa anazitengeneza kisha anawapa vijana wake kwenda kuuza kwenye mashule mbalimbali jijini Dar Es salaam lakini...
Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree...
Tulishuhudia ujenzi wa Reli ya SGR hapa Jijini Mwanza na kuelekea Isaka ukienda kwa kasi, ghafla ujenzi umesimama na hatujui ni kwa sababu gani.
Tunaiomba Mamlaka itueleze nini kimekwamisha...
Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo.
Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia...
Mambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida...
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata...
Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah.
· Faida Halal 12% ukiwekeza TZS
· Faida Halal 6% ukiwekeza USD
· Gawio mara 4 kwa mwaka
· Itadumu kwa miaka 5...
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa agizo na mwongozo kwa vyuo ambavyo havitoi Shahada ya Uzamivu kuacha mara moja kutunuku shahada za heshima (Honorary Doctorate) kwa viongozi wa kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.