Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Kukuza watoto wako wawe kama Winga / mshambuliaji inaweza kuwa biashara yenye mashaka . Ukikuza kuwa mabeki ( fullbacks ) ambao watatoa 7/10 kila wiki uwanjani . Hawa ndyo watadumu kwenye timu...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Sikuwa nafikiria ikiwa Kuna siku namimi nitakaa nakuanza kuchart na AI lakini Leo katika utulivu wangu namimi nikaona niijaribu hii teknolojia ya Chatgpt. Nikiri TU teknolojia inaenda kuwa...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Wakuu. Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC? Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Unakuta notification zaidi ya 24 alafu unakuja jitu moja limeweka like kila comment..
6 Reactions
10 Replies
533 Views
Unakuta mtu ana mafanikio mzuri tu kifedha anamiliki nyumba nzuri usafiri mzuri, anasomesha watoto shule bora kabisa ila kujenga kwao alikuzaliwa ni mtihani . Kuna watu kadhaa nimewaona wako na...
3 Reactions
17 Replies
626 Views
Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari. 1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla 2. Dr Kedmon Mapana (PhD), 3. Salim Kikeke, 4. Albert Msando, 5. Dr Sam Sassali, 6. Chief Odemba, 7...
12 Reactions
112 Replies
6K Views
Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Watanzania na wadau mbalimbali wameendelea kuhamasishwa kushirikiana na Serikali ili kufanikisha malengo yaliyowekwa ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao umelenga...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Familia ya Dkt. Abraham Muro wa Tegeta jijini Dar es Salaam imetoa tuzo ya pongezi kwa madaktari na wauguzi wanaohudumu katika wodi namba 4B ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Tajiri namba tatu duniani, Jeff Bezos, ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Amazon, amezua gumzo mitandaoni baada ya makadirio mapya kuonyesha ukubwa wa utajiri wake. Ripoti hizo zinaeleza kuwa...
2 Reactions
13 Replies
541 Views
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto...
2 Reactions
15 Replies
910 Views
Anonymous
Migambo wanaotumiwa na Askari Polisi kukamata madereva pikipiki na Bajaj wanaofanya usafirishaji wa Taksi Mtandaoni mfano Bolt au Uber wamekuwa wakiwanyanyasa madereva hao kwa kuwakamata kiholela...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Kichwa cha habari Chahusika, Salam kwenu GT wote.. Niende moja kwa moja kwenye Changamoto yangu.. Niliunganishiwa Maji mnamo tarehe 08/03/2025 na baada ya hapo Nimekuwa nikitumiwa bill baada ya...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Raha ilioshinda walio "ishinda" dunia Raha iliowapiku walio "upiku" ulimwengu. Raha yenye uwezo wa kuumba na kuangamiza. Raha iliotengeneza mipaka mipya na kuharibu ya zamani. Raha...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Mtu mmoja anayejifanya ni daktari katika hospitali ya Amana Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa katika hospitali hiyo baada ya kukutwa akifanya huduma kwa wa gonjwa bila kibali cha hospitali...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo tunahitaji kuongea, embu tujuane kwanza, ishu muhimu sana
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Kuna taarifa ya kukamatwa Daktari feki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kama hii habari ni kweli, basi itabidi baadhi ya Viongozi wa Hospitali hii wajiuzulu nafasi zao. Hii inaonesha ni jinsi...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Back
Top Bottom