Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vijana wawili wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua pundamilia na kumiliki nyara za Serikali. Walikamatwa wakiwa na kichwa cha pundamilia, miguu ya...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Waziri wa Ardhi Unahujumiwa na watumishi wa idara ya ardhi pale Dodoma Jiji Imekuwa ni kero kubwa sana kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo ya kupata hati kwenye ofisi za jiji...
5 Reactions
6 Replies
706 Views
KUTUMIA CHURA ILI KUONDOA UCHAWI Kama unahisi umerogwa basi chukua chura akiwa hai alafu mchemshe kisha maji yake changanya kwenye maji ya kuoga kisha oga na mengine kunywa nusu kikombe ubaya...
0 Reactions
10 Replies
578 Views
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena...
8 Reactions
465 Replies
49K Views
Ndivyo ilivyo au ni mara chache ? Nilikuwa napitia matokeo ya waliopitishwa kwenye kura za maoni, ghafla nikastuka na kitu kimoja kikavuta sana attention yangu. Majimbo ya kina Mwaisa, yaani...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Ifuatayo ni orodha ya Mikoa 10 Tajiri na Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania kwa Kipato cha mtu mmja mmja Kwa mujibu wa takwimu za NBS za mwaka 2024 (Tanzania in Figures 2024). Mikoa 10 Yenye Watu...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa madawati ya uthibitishaji...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali 2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya. 3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani...
4 Reactions
12 Replies
633 Views
Andiko kuu: 1 Samweli 11:14 1 Samweli 11:14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuimarishe ufalme huko mara ya pili. Usuli (Background) Sura ya 9 na ya 10 ya...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General...
49 Reactions
202 Replies
12K Views
Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa...
18 Reactions
73 Replies
4K Views
Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki...
2 Reactions
5 Replies
722 Views
Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
3 Reactions
6 Replies
676 Views
Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
953 Views
Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa...
53 Reactions
96 Replies
16K Views
Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao...
31 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni: 1...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
Back
Top Bottom