Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Kuna mkuu humu jana ameniambia kuwa huu mti(Palm) kwa kiswahili unaitwa Mkoche(Kisayansi Hyphaene Coriacea) Unapatikana pwani ya Afrika Mashariki kutoka Somalia hadi South Afrika na Namibia. Huko...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka. Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na...
1 Reactions
8 Replies
526 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kukamilisha lengo la usambazaji Umeme katika Vijiji 12,318 Nchini na kwa umahiri...
1 Reactions
5 Replies
393 Views
As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma, Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita, Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza, Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako...
8 Reactions
99 Replies
2K Views
Nani aliyesema wake zetu wameezeeka ajitokeze kuomba msamaha BICHWA KOMWE -
2 Reactions
11 Replies
519 Views
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari...
1 Reactions
3 Replies
541 Views
Binafsi sipendi kabisa kwenda hospital za serikali ukifika watumishi wana jifanya wapo bise kuliko kawaida una jielezea shida yako DR wakiume ana kuangalia kwa jicho La dharau sana Ukija TRA...
10 Reactions
87 Replies
3K Views
🗯️ Watafiti kutoka china waempiga hatua kubwa baada ya kuunda Cement aina mpya yenye uwezo wa kuakisi mwanga wa jua badala kuinyonya ( absorbing) 🧽, kusaidia majengo kuwa baridi na kupunguza...
1 Reactions
10 Replies
700 Views
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Je, unaweza kutoa ufafanuzi wa msemo huu? "WAFANYAKAZI (WAAJIRIWA) NI DARAJA LA MAFANIKIO YA WAFANYABIASHARA"
0 Reactions
6 Replies
302 Views
Mimi naishi Mvuti, ni mbali kidogo mpaka kufika mjini ila barabara yote ni mkeka mpaka mjini ninakofanyia kazi. Barabarani nimeona sana damu za bodaboda na abiria wao. Ukiona watu wamezunguka na...
3 Reactions
4 Replies
461 Views
Meya wa jiji la Dallas (Marekani) akaliwa kooni na walipa kodi wa jiji hilo kwa kutumia hela kibao kwa kufanya ziara nchini Tanzania kwa minajili ya kutia saini makubaliano ya kuwa Mji dada na...
1 Reactions
17 Replies
986 Views
Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika...
4 Reactions
101 Replies
3K Views
Make money. Make a lot of it, and you will realize some rules are for the poor.
3 Reactions
3 Replies
371 Views
Soko la fedha ni lenye mtiririko mkubwa wa fedha, na mara nyingi hedge funds au mabenki makubwa hujaribu kutumia nafasi zao kupata faida. Hata hivyo, baadhi ya vitendo vinavyojulikana kama...
0 Reactions
6 Replies
535 Views
CCM hii hii inayolaumiwa na kukashifiwa na akina Humphrey Polepole na genge lake wanaojitokeza hadharani mmoja mmoja kiuhalisia ndiyo ile ile iliyowahi kufanya mambo mengi ambayo yamekuwa...
1 Reactions
21 Replies
836 Views
Kazi ilikuwa kazi kwelkwel, ukitaka kuongoza viongozi wa kitanzania sio kuwachekea, ni kuwaburuta kwelkwel maana Huwa hawajui wajibu wao kwa wananchi.
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Wakuu, Story hii si yangu, ni ya jamaa jirani yangu,si unajua mjini hakukosi pilika na mishemishe mbalimbali mara lile mara hili ili mradi siku zinasonga Katika kutembea tembea kwangu nikakuta...
3 Reactions
18 Replies
646 Views
Habari zenu,,, Nimefanya MANUNUZI bidhaa mtandaoni kwa kutumia VISA CARD ya Vodacom,,baadae niliona bidhaa sio Bora,,,nikaamua kucancel order,,, nikarudishiwa pesa niliyofanyia malipo,,, REFUND...
2 Reactions
10 Replies
537 Views
Back
Top Bottom