Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika...
3 Reactions
2 Replies
498 Views
BANGI NI DAWA ..... SEMA TU WATU WANAITUMIA KINYUME NA MAUMBILE
2 Reactions
1 Replies
181 Views
  • Closed
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule. Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka...
19 Reactions
186 Replies
5K Views
Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
4 Reactions
14 Replies
971 Views
Macho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini? Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin Au umekaa tu...
3 Reactions
60 Replies
15K Views
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali...
2 Reactions
4 Replies
566 Views
Habari ndugu zangu naomba mwenye kujua jinsi ya kupata namba za nida nazipata wapi na nini kinahitajika ili kukamilisha mchakato huu Naombeni msaada kwa wenye kujua
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii...
0 Reactions
2 Replies
408 Views
Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu...
1 Reactions
4 Replies
767 Views
Utangulizi: Katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, ujio wa akili mnemba (Artificial Intelligence - AI) umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali duniani, hasa elimu. Wakati AI inaleta...
2 Reactions
2 Replies
597 Views
Isa 45:22 SUV [22] Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine. Mungu sio kana kwamba anatulazimisha tumtazame na kumtemegea Yeye, kupuuza kwetu...
3 Reactions
2 Replies
290 Views
Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta Riziki. Nahitaji mashine ya kutengeneza juisi ya miwa kwa gharama nafuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetia saini makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Madaktari wa Moyo nchini Misri kwa lengo la kuanzisha huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa ya...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwaka ambao haugawanyiki Kwa mbili mfano 2025/2023/2021 /2019 Kupitia hii miaka unaweza kufanikisha mambo yako kupitia haya mambo Visualization Mediation Examination Gratitude Frequency and...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
  • Closed
Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya...
30 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom