Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu...
1 Reactions
23 Replies
967 Views
UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo...
69 Reactions
157 Replies
8K Views
Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Tembelea Norway wanafundisha katika Kinorwei. Tembelea Denmark wanayofundisha kwa Kidenmark. Tembelea Ufini wanafundisha kwa Kifini. Tembelea China wanafundisha kwa Kichina. Tembelea Japan...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Rais Samia amejenga kilometa mpya 20,000 za changarawe chini ya wakala wa barabara TARURA kama msingi wa Dira2050. Rais Samia ili kuifungua nchi zaidi hasa vijijini tyari ameweka changarawe...
3 Reactions
21 Replies
636 Views
Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu Hapa tunafanyaje ili kulipia hapo kwa njia hizi?
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Simsikii katika sakata zote almost a month now. Yuko wapi Ngurumo Ansbert. Busara zako zinahitajika sana kipindi hiki cha Polepole
2 Reactions
2 Replies
301 Views
Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
== Waziri mkuu amesema kuwa Chini ya Rais Samia, mikataba minne ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53 imesainiwa mwaka 2024/25 kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
The world's longest recorded fart lasted for two (2) minutes and forty two (42) seconds. Bernard clemmes of London holds this world record.
1 Reactions
5 Replies
382 Views
Kufuatia mafuriko ya SGR (Dar-Moro- Dodoma) mabasi ya Shabiby na Abood wamejiongeza na kutafuta route mpya. Asante Samia
2 Reactions
17 Replies
1K Views
MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI ▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo ▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema ▪️Wananchi Geita wamshukuru...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa ❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga ❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
WAZIRI MAVUNDE: MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI ☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga ☑️ Mwekezaji...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Ajira nyingi zina nafasi zaidi kwa watoto wa maboss, watoto na ndugu wa wanasiasa wakubwa, watoto wa matajiri wanaojuana na watu wakubwa, wazanzibari wanaopewa mgao wa ajira ili kubalance...
3 Reactions
22 Replies
984 Views
Huu mji mgumu sana. Foleni zimekua tatizo sana kwa Dar kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Sasa vijana wa bajaji na daladala wanaongeza ugumu wa ili tatizo. Angalia kwenye vituo vya...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema hakubaliani na dhana kwamba taifa linaweza kutajirika kwa kulima dawa za kulevya. Amesema...
1 Reactions
11 Replies
585 Views
Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha. Mambo machache ya...
8 Reactions
9 Replies
608 Views
Back
Top Bottom