Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4.
Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo...
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025)...
Nyie machawa, Hii ni kweli ?
Mkongo wa mawasiliano: Tanzania kilometa 13,820, Kenya 13,590 na Uganda ni 10,200 tukisema Rais Samia ni Asset kwa Taifa muwe mnaelewa,
NB, Leo nimeamua kujiunga...
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo...
📊 TAFITI ZINAONESHA!
✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia...
Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu
Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya...
Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini...
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto...
Dar es Salaam – Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao katika dini na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Sheikh Ilyasa Jamaa alipokuwa akihutubia swala...
Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani
Ni hayo tu
Nawashangaa sana wa Afrika kwa ufinyu wa kufikiri , miaka ya hivi karibuni jeshi la Marekani limekuwa likitoa nafasi za kazi katika jeshi lao kwa watu wa mataifa mengine na wamekuwa wakitoa...
Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria...
Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa.
Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako.
Na mwanaume unatakiwa kutoa...
Chumba kimoja ninachoishi kimenikumbuka kuwa napoteza muda na maisha ya mjini; heri nirudi kijijini.
Haiwezekani nina miaka 35 halafu bado naishi kwenye chumba kimoja.
Ukiachilia mbali majirani...
Huu ndo ukweli, ukitaka kuamini lala ndani mchana kukiwa hujawasha feni au kiyoyozi au kukiwa hakuna umeme ndiyo utaamini maneno yangu
Hili jiji ni vile wengine wanajikuta wamo na kutafuta hera...
Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra.
Mashuhuda wanasema kuwa...
Ikiwa unafatilia uchambuzi hasa kutoka tbc utaona tangazo zuri sana kutoka mamlaka ya mapato likielezea faida mbali mbali zilizopatikana na zitakazopatikana kwa kulipa kodi
Kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.