vidudi Member Joined Jun 28, 2016 Posts 75 Reaction score 37 Nov 19, 2016 #1 Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta Riziki. Nahitaji mashine ya kutengeneza juisi ya miwa kwa gharama nafuu.
Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta Riziki. Nahitaji mashine ya kutengeneza juisi ya miwa kwa gharama nafuu.
Sulomy health care Member Joined Jan 17, 2025 Posts 36 Reaction score 11 Aug 23, 2025 #2 Kama bado una uhitaji nayo.. ninayo mashine nimetumia myezi mitatu tu. Njoo uikague ikikuridhisha tunaingia kwenye bei. Mashine inatumia generator (petrol) ipo tandika mawasiliano 0626908654 Haina udalali mm ndo mmiliki
Kama bado una uhitaji nayo.. ninayo mashine nimetumia myezi mitatu tu. Njoo uikague ikikuridhisha tunaingia kwenye bei. Mashine inatumia generator (petrol) ipo tandika mawasiliano 0626908654 Haina udalali mm ndo mmiliki