Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima...
Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa.
Tatizo...
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya...
Inamaana wajumbe /wabunge walioteuliwa au kuchaguliwa huko nyuma kabla ya bunge la sasa la wabunge wasomi wajinga,je hawa wote walikuwa wasomi?
"THE STORY OF THE TANZANIA PARLIAMENT : FROM THE...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2025 chini ya Rais Samia, Dhahabu zenye uzito wa gramu 1,301,842.81 zenye thamani ya shilingi...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko...
ARUSHA: TZS10bn zatolewa Kwa Walemavu, Vijana na Wanawake.
Akiongea na wanahabari mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Kenani Kihongosi amesema Rais Samia ameongeza zaidi ya mara 3 Bajeti ya Mikopo ya 10%...
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia...
Dominican Republic (Amerika ya Kaskazini, Caribbean) ni taifa la kipekee duniani ambalo bendera yake rasmi kabisa inaonyesha Biblia ikiwa wazi katikati ya nembo ya taifa.
Nembo hiyo iko moja kwa...
Wakuu,
Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla.
Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala.
Vyote...
Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya...
Katika hotuba mojawapo ya Mheshiwa Rais, Samia Suluhu Hassan leo imeonesha makundi muhimu katika kuuelimisha Umma yakiwemo ya Wanasiasa, Viongozi wa Dini lakini kundi mojawapo lililotajwa kwa...
Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa...
Kyerwa, Kagera – Wazazi na walezi wilayani Kyerwa wametakiwa kuhakikisha wanawasomesha watoto wao kwa nguvu zote ili waweze kutumia kikamilifu fursa zote za maendeleo, zikiwemo zile za michezo...
Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.