HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za kuambiwa changanyeni na zenu joka la kijani litakapoanza ouwang'ata!!