Ameandika Firas Ahmed
Kwa nini ada za pesa za mtandao zinabaki kuwa kubwa kwa ukaidi nchini Tanzania, ambapo kuna msukumo mkubwa wa kisera kwa malipo ya kidijitali, kipato kinachopatikana ni...
Wana JF Mimi sijaelewa Gwajima kwanyea au nini?
Kwa kweli sitaki kuwachosha ila nimeumia Sana, tension yote Ile ya Moshi kuzuka ni Kwa ajiri ya kumpongeza Polepole Tu. Tumia Siri zote ulizonazo ...
Aliyewahi kuwa Askofu wa Awamu ya Tatu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Dkt. Martin F. Shao amefariki duni.
Taarifa iliyotolewa leo Agosti 25, 2025 na...
Nimesikitika sana sana
Jana nikitokea kwa mathias
Nkashuka mbezi mwisho
Nipunguze maji kidogoooop
Ajabu uwiii choo cha kwanzaa nakuta mzigoo wa chookikubwa unaelea nkahamia kwingine same...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25...
Ninaishi na kijana hapa kwangu anakaribia kuhitimu form 4
Tulishapanga akimaliza form 4 aende chuo, (sijaona faida ya form 6 nje ya kozi za afya)
Ninakumbuka enzi zangu nilipoteza sana muda...
Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na...
Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu...
Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama...
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, ulimwengu umewahi kuadhibiwa mara mbili na mwenyezi Mungu kwa mapigo mawili makubwa.
Pigo la kwanza wakati wa Nuhu, Pigo la gharika hili lilipozwa kwakuwa maji...
Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi.
Pia...
Kwa:
Mkurugenzi Mkuu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
S.L.P 63154
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Ombi la Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Plastic Wrapping kwa Mizigo ya...
Kwani hao manabii mnaowasoma kwenye biblia na quruan na waliotunga vitabu vya dini walikuwa wasomi kiasi gani hadi bunge liwe la wasomi?
quruan na biblia ziliandikwa na wasomi hadi bunge liwe la...
Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao.
SHERIA NA...
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu...
Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji...
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.