Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumeona Muonekano mpya wa App ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Google pixel na Android kwq ujumla ambapo kuna maboresho mapya wamefanya kuhusu app ya phone call. Ni kweli inaonekana nzuri...
1 Reactions
2 Replies
530 Views
Mnawapa kazi wengine walikuwa wanakunywa wine sasa wanakunywa pombe moja kama ingekuwa sungura basi isingekuwa na jina mwenye jina la suti la mkia. Hapa usiku wanataka kutengeneza kikosi kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni...
25 Reactions
212 Replies
6K Views
Habari za kwenu? Kuna mwalimu wa kiume wa sekondari ya Nkoasenga anaitwa Alb.... (jina limefupishwa) katika kijiji cha Nkoasenga wilaya ya Meru, kata ya Leguruki mkoa wa Arusha anafanya biashara...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Wakuu, Ni miaka mingi huwa naona jeshi hili lakini bado sjajua maana yake na kazi yake, Mwenye kujua maana yake na kazi zake naomba nitolewe ujinga nilionao kichwani mwangu Ni haki kwa kila mtu...
3 Reactions
16 Replies
930 Views
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimeshasema mara kadhaa humu huyu mzee wa watu amefanya maajabu makubwa sana Ruangwa tofauti na waheshimiwa wengine kwenye maeneo yao. Mwenye macho haambiwi tazama WanaRuangwa nawakumbusha tu...
1 Reactions
4 Replies
430 Views
Wadau Ujuaji siyo mzuri ila furaha ni jambo njema tuendelee kujifunza lugha za wakubwa duniani tusikate tamaa! Kiswahili ni kiswahili na kiingereza kisalie hivyo! -SHE...
1 Reactions
11 Replies
774 Views
Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Watanzania wanaowalalamikia kwa ufisadi,wizi,ubadhirifu,mikataba feki,madeni,nk ni wasomi haoahao ambao ni wabunge na watumishi wa serikali anaowasema Polepole. Sasa mnapowakataa watu wenye...
0 Reactions
2 Replies
216 Views
Wasibhota musani. Baada ya safari za huku na kule na baada ya stori hii Mh. Rais Angalia Unaharibiwa na Mkurugenzi wa Wilaya, Mkoa, Hii Mbaya Sana. niliondoka Nzega ili kujiridhisha kama kweli...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
"Unapomuona mtu awasikilizi wananchi, awanyenyeki ina maana uongozi wake autokani na wananchi uongozi wake unatokana na kitu kingine etha wananchi walie, walalamike huyu kiongozi". - Amesema...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Umesoma vizuri, mambo hayaendi maana yake akili imekungusha, sasa jaribu nguvu, potelea porini, fyeka miti, lima kwa mkono wako, fuga, jenga hata kijumba cha nyasi, anzisha maisha huko bila...
2 Reactions
7 Replies
452 Views
Wakuu habari, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
"....Wabunge 16 ambao tovuti ya Bunge imethibitisha rasmi kwamba wewahi kuingia bungeni wakiwa na kiwango cha elimu ya msingi ni Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku (Msukuma) ambaye ameandika...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week...
2 Reactions
8 Replies
622 Views
Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini"...
1 Reactions
9 Replies
553 Views
Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga...
0 Reactions
7 Replies
366 Views
Baada ya sheria ngowi kuachana na yanga, yanga walipata designer mpya ila cha ajabu hizi jersey za msimu huu ni kituko cha muongo kama sio karne kabsa. Kwenye jersey ety wameweka mwenge sa sjui...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom