Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa...
Ni ipi basi iliyohifadhiwa?
1. Biblia ya Othodoksi ina vitabu 86
2. Biblia ya Waethiopia ina vitabu 81
3. Biblia ya Kigiriki ina vitabu 78
4. Biblia ya Karismatiki ina vitabu 76
5. Biblia...
Ulevi
Kamari
Zinaa
Riba
Nimetaja kwa jumla sana hapo juu sasa ngoja nichambue kidogo.
Nyimbo siku hizi vitoto vyote vinaimba tena nyimbo zenyewe ni za kishenzi na kishetani haswa. Mbaya zaidi...
Emmanuel Mussa (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ighombwe, mkoani Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule...
Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo...
Kusomesha sio shida ila kinachotia huzuni ni wazazi wa kipato cha chini wanaingia kwenye gharama kubwa zinazowaingiza kwenye deni la matumaini makubwa badala ya kusomesha kama jukumu, wanaona ni...
Mimi shiishi Arusha ila ni zaidi ya miaka 20 lile eneo la shoprite ya zamani, unapita kona ya kilombero, ngarenaro lipo vile-vile na hakuna dalili hata ya kulibadilisha
Ule uchafu kama uchafu...
Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker,
Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa...
Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio.
Kama hautokei...
🗯️ Tetesi zinasema Toleo jipya la simu ya iphone aina ya kukunjwa yani iphone foldable itakua na kamera nne itaweza kupatikana katika matoleo ya rangi mbili pekee black 🖤 and white variation.
🗯️...
Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli.
Uzi tayari
The Mongolian Savage
BICHWA KOMWE -
Maghayo
Ghayo TheMongo Barbarian
litutumbwe
Mufti kuku The Infinity
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa...
Kuna maswali huwa najiuliza bila majibu. Hivi kama kampuni ina jumla ya thamani ya shillingi Billion kumi, na ina jumla ya hisa 10 ( kila hisa ina thamani ya bilioni 1). Na hiyo kampuni kwa...
Nimekutana na mada ya moto kidogo.
Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi.
Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi...
Mimi ni mzalendo naipenda nchi yangu toka moyoni mwangu na si kwashawishiwa na mtu yeyote .kwakuwa ni mzalendo wa kuzaliwa naomba niwashauri mamlaka ya kodi yaani TRA kuanzisha utaratibu wa...
Kuna wizi umeibuka wa wapangaji wanaiba umeme, Sasa usije kupata matatizo Bure na serikali, uwe na utaratibu wa kuangalia kila mara katika ofisi kuu za tanesco na kukagua mita zako na ukihisi kitu...
Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba...
Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri.
Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.