Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mafao ya asilimia 33.3 hadi sasa ni kitendawili... Je Nssf iliichangia CCM pesa zetu? Kama hamkuchangia CCM, tupeni pesa yetu... Mlinisumbua sana wakati nafuatilia pesa hii... Licha ya...
0 Reactions
3 Replies
477 Views
By Patrick Newman | The One Africa Show Newsroom Washington, D.C. — A Tanzanian national has been extradited to the United States to face trial in a staggering international arms trafficking case...
3 Reactions
6 Replies
927 Views
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini MOI Dkt. Marina Njelekela ameipongeza menejimenti ya MOI kwa uamuzi wake wa kushiriki na kutoa huduma kwa washiriki wa mkutano wa wenyeviti wa bodi na wakuu wa...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Kuna muda Huwa naona Bora GEITA ingekuwa ya wachaga si wasukuma huenda ingekuwa MBALI sana. Burkinafaso fujo zote Mali ,Ghana, afrika kisini kwa mbali fujo zote ni DHAHABU njoo nyumbani GEITA...
0 Reactions
7 Replies
414 Views
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, (BAKWATA), limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kwamba Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis tarehe 04/09/2025 usiku katika uwanja wa Shule ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi...
2 Reactions
2 Replies
462 Views
Wakuu nina mtoto wangu wa kiume ana miaka 9 lakini anasumbua kula sana. Tunajitahidi kumpa kila anachotakiwa kula lakini wapi, ujanja wote wa kumbadilishia chakula umegonga mwamba!! Nilidhani...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
wadau mnaofunga novena huwa mnanuia nini? siouchawi kweli?
4 Reactions
15 Replies
727 Views
Kama Yule Muhoozi wa Uganda Vita iliyotokea ya watusi na wahutu mwaka 1972, Ndo ilisababisha warundi wanaitwa Wakimbizi na ndio pigo La Watanzani wengi Wamekua wakilitumia kama Fimbo ya...
1 Reactions
3 Replies
397 Views
Habari. Mimi ni mtumishi wa wizara ya afya ninayefanya kazi Moja za hospitali za rufaa nchini Tanzania. Ngoja niweke malalamiko makubwa yanatukumba sisi watumishi wa afya nchini Kwa sasa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Challenge ya Dola Milioni Moja (Tsh 2.5b) ilikuwa zawadi maarufu iliyotolewa na James Randi Educational Foundation (JREF) kwa mtu yeyote ambaye angeweza kuthibitisha uwezo wowote wa kisaikolojia...
1 Reactions
3 Replies
309 Views
BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA. Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya...
14 Reactions
89 Replies
10K Views
SITAKUJA KUHESHIMU SERIKALI YEYOTE DUNIANI HATA SIKU MOJA. MTUME PAULO ALIKUWA MAMLUKI YA WATAWALA KWA MASLAHI YA WATAWALA NA AKAIPOTOSHA JAMII. Hakuna Serikali inayotoka kwa Mungu bali ni...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Deogratius Kisandu ambaye kwasasa anatambulika Kama DON NALIMISON kisheria, haya ndio yalikuwa mashitaka yaliyopelekea kufungwa japo alishinda kesi.
9 Reactions
122 Replies
14K Views
1. Profesa Ndaalio- Chemistry dept CH114 and CH 220 2. Dr. Tibanyendera CH114 and CH220 3. Prof Khan Organic chemistry 4. Dr. MtotoMwema.......................Botany 5. Dr. Chamungwana.... DSS 6...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Kwako Kaka JINSI GANI TUTAZUIA MAFISADI WA SASA NA WOTE WAJAO KWA ASILI YETU HII YA UBINADAMU WA KUPENDA FEDHA. Kichwa cha habari chajieleza; Moja ya vitu ambavyo huwa vinanichanganya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Tujifunze hili kutoka kwa Nyerere. Alikuwa na akili ya kutosha tu yule mtu lakini alijua Ili aongoze lazima awe mjanja. Akaongeza ujanja katika akili yake na zikampa majibu ya kushirikiana na Kila...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja...
26 Reactions
54 Replies
3K Views
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom