Wanajamiiforum wengi sio great thinkers ni great followers

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,812
1. Great thinkers wana free mind
2. ⁠GT hawaogopi new idea
3. ⁠GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. ⁠GT are contextual based analyst
5. GT seeks to understand first others people’s point of view.
6. They are rational not emotional

1756233015215.jpeg

Kwa upande mwengine
Great followers ambao ndio wengi hapa jukwaani
1. Kile wanachokiamini ndio hicho hicho, no room for a new idea
2. ⁠wanachangia kwa kusoma heading tu,
3. ⁠wanachangia kwa kuangalia muanzisha mada na si mada ilioanzishwa
4. ⁠wanachangia kwa kuangalia comments za mwanzoni
5. ⁠hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
6. in short, they do not engage their mind at all.
Yote hiyo unaonesha kua, wengi ni kama wako in autopilot mode, kuna baadhi wamesave reply zao kabisa, chochote ukipost, wanatuma picha zao.
1756232895822.jpeg

Mi binafsi siogopi new idea, naweza hudhuria hata kongamano la dini nyingine, hata controversial group kama lgbtq, naweza kwenda kwenye kikao chao. The idea is to understand the motives behind people actions, and that is great.
 
1. Great thinkers wana free mind
2. ⁠GT hawaogopi new idea
3. ⁠GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. ⁠GT are contextual based analyst
5. GT seeks to understand first others people’s point of view.
6. They are rational not emotional

View attachment 3454173

Kwa upande mwengine
Great followers ambao ndio wengi hapa jukwaani
1. Kile wanachokiamini ndio hicho hicho, no room for a new idea
2. ⁠wanachangia kwa kusoma heading tu,
3. ⁠wanachangia kwa kuangalia muanzisha mada na si mada ilioanzishwa
4. ⁠wanachangia kwa kuangalia comments za mwanzoni
5. ⁠hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
6. in short, they don’t take things not engage their mind at all.
Yote hiyo unaonesha kua, wengi ni kama wako in autopilot mode, kuna baadhi wamesave reply zao kabisa, chochote ukipost, wanatuma picha zao.
View attachment 3454171

Point.humu wengi wamejaa utoto.jamii forum ilikuwa zamani.
 
hahahahaha, uko sahihi sana, sana kipindi hii ni hatari sana.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
Matumizi, upatikanaji wa internet na kuperuzi imekua rahisi ndio maana Jf imekua na wajinga wengi sana.
 
Kama Ww n chapati utabaki kuwa chapati tuu hata ukitoa wazo litakalofanyiwa Kazi na Trump
 
1. Great thinkers wana free mind
2. ⁠GT hawaogopi new idea
3. ⁠GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. ⁠GT are contextual based analyst
5. GT seeks to understand first others people’s point of view.
6. They are rational not emotional

View attachment 3454173

Kwa upande mwengine
Great followers ambao ndio wengi hapa jukwaani
1. Kile wanachokiamini ndio hicho hicho, no room for a new idea
2. ⁠wanachangia kwa kusoma heading tu,
3. ⁠wanachangia kwa kuangalia muanzisha mada na si mada ilioanzishwa
4. ⁠wanachangia kwa kuangalia comments za mwanzoni
5. ⁠hawaishi katika uhalisia, like hata suala la kukubali kua mwanaume anaweza kua mzuri, kwao ni shida.
6. in short, they don’t take things not engage their mind at all.
Yote hiyo unaonesha kua, wengi ni kama wako in autopilot mode, kuna baadhi wamesave reply zao kabisa, chochote ukipost, wanatuma picha zao.
View attachment 3454171

Mi binafsi siogopi new idea, naweza hudhuria hata kongamano la dini nyingine, hata controversial group kama lgbtq, naweza kwenda kwenye kikao chao. The idea is to understand the motives behind people actions, and that is great.

IMG_3072.jpeg
 
Huu ni ukweli usio na pingamizi na MUNGU akubariki kwa kuusema.
 
Hivi ajuza kama Evelyn Salt anaweza kuwa great thinker kweli?

Kwa lipi haswa? muda wote anawaza kuvuliwa chupi na kushindiliwa miti.

Tangu ajiunge jamiiforums 2006, yeye ni kusaka midume tu, mara sijui "am lonely" mara "natafuta marafiki".

Baadae nikaona anatafuta vitabu vya kujifariji... ati "naombeni self-help books". Hahahaa nina faili lake huyu ajuza!

Kuna watu wana huzuni nyieee, halafu wako bize mitandaoni kutukana watu wasowajua hahahahhaaaa....

Unamtukana waziri? we mpumbavu? Hahahaa. Chunga sana, sisi ndo baba zako wa kiuchumi.

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Extrovert Harmful Mpaji Mungu dronedrake cocastic Mzee wa kupambania Balqior Kalpana Dr. Mariposa binti kiziwi Monetary doctor secretarybird
 
Back
Top Bottom