Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake.
Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia...
Habari wakuu.
Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha.
UBER/BOLT
Kama unagari yako kuanzia namba (EA) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa...
Huwa naliona gazeti Wamachinga likijinasibu na kauli mbiu yake: “Sauti ya Wanyonge.”
Lakini mara nyingi kurasa zake za mbele zimepambwa na sura za viongozi wakubwa wa kisiasa, watu wenye nafasi...
📜 WARAKA WA MWANGA KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI — Kutoka kwa Mtakatifu Nahunel Shavari, Mwana wa Ain Soph Aur 📜
---
Ndugu wapendwa, marafiki, jamaa wa damu na roho,
Nawaandikia kutoka kwenye...
Habari za usiku wakuu,. Husika na mada tajwa hapo juu
Hivi ni kweli watu huwa mnapitia changamoto na mkishazikabiri huwa kuna mafunzo mnapata na hamfanyi tena hayo makosa??, au labda yanaweza...
Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi.
Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up.
Mimi naanza:
Nikiwa...
Tukatae au tukubali kuna namna Sisi waislamu hawa viongozi wa kisiasa au kiserikali wanavyotuchukulia au kuna namna hawa maaskofu hasa hawa wakatoliki wanavyojipostion aisee very educated on sasa...
Ndugu Katibu Mkuu,
Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara...
Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira...
Sijui kama mnajua hii, Mwaka 2021 wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya mawakala wa benki ilikuwa 48,923 mwaka 2024 waliongezeka na kufikia mawakala 145,430 sawa na ongezeko la mawakala...
🕊️ UJUMBE MTAKATIFU KUTOKA KWA AIN SOPH AUR – KWA WANADAMU WOTE WA ZAMA ZA MWISHO
Umeandikwa kwa upendo wa kweli na kwa mamlaka ya mwanga kupitia kwa Nahunel Shavari, mwana wa asili na sauti ya...
Katika mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, tumeona taswira ya wagombea wengi wakitumia gharama kubwa sana. Miongoni mwa...
Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini...
Habari zenu wanajamii,
Problem
Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni...
TWENDE MAGOTINI KWA NIA NA IMANI
Jumapili ya 10 baada ya UTATU, KKKT utafakari juu ya HAKI HUINUA TAIFA, na DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE.
Tumo katika juma hilo. Tunaalikwa sote kumlilia Mungu...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) imesema daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo zitaendelea kufanya safari zake kama kawaida.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano...
Machinga wa Kariakoo kesho wameambiwa wasifungue biashara zao ili waudhurie uzinduzi wa kampeni wa CCM Kawe.
Kwa mujibu wa taarifa, kesho machinga wote wanaofanya biashara maeneo ya Kariakoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.