Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him...
Wakati mmoja nilikuwa na-scroll reels za Facebook ikatokea clip moja ikionesha watawa wa kikatoliki wakiimba Kwa ala za kuvutia sana (angelic voices). Hiyo clip ilikuwa ikimuonesha msanii wa...
SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi...
Katika kipindi hiki,ninakutana na watu mbalimbali( wengi Sana) wenye changamoto za afya hususani magonjwa yasiyoambukiza.
Kila nikiketi na kujadili nao juu ya kinachowasumbua ninagundua ni...
Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti...
Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu...
NGE - SCORPION ♏
Uchambuzi zaidi wa nyota ya NGE
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Ifahamu Nyota ya Ng’e:
Wenye Nguvu ya Hisia na Walio na Msimamo
Ifahamu Nyota ya Ng’e: Wenye Nguvu ya Hisia na Walio...
💭 Maendeleo ya Teknolojia yametuonyesha na kurahisisha kwa kuwajua watu Mbalimbali waliogundua vitu Mbalimbali kwenye hii Dunia yetu lakini nani anayemjua mtu aliyewahi kutoa jina la eneo...
Tanzania is the 12th most Christian Country in World!
there are 2.2 billion Christians in the world, which means one out of every four people is a Christian ...
Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote.
Sehemu ya utulivu....
Mwili
Nafsi
Roho
Akili
Mawazo
Fikra
Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeyasimamisha magari yote ya Kampuni ya Kilimanjaro Express kutoa huduma ya usafirishaji kuanzia jumatatu kutokana na kukiuka masharti ya leseni...
Hivi kwani Sasa Rais ni nani?
Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo?
Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena?
Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana...
REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Majiko banifu 4,836 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Njombe
📌 Jiko moja kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS...
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya...
Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile...
Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.