Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁? Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia...
9 Reactions
14 Replies
852 Views
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu. Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari ndugu.. Kama nilivyoeleza hapo juu, hili tatizo lilinianza mwaka juzi sauti zinaniongelesha na kunisema.. Baadae nikazipuuzia.. zilapotea, Sasa mwaka huu tatizo limekuwa kubwa mno...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza...
2 Reactions
12 Replies
676 Views
Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
24 Reactions
80 Replies
4K Views
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba. Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la...
18 Reactions
120 Replies
6K Views
Habari wadau. Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo. Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani...
0 Reactions
11 Replies
769 Views
Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili...
18 Reactions
126 Replies
5K Views
Ripoti kutoka Global Initiative inaonyesha kuwa Afrika Mashariki na Kusini ni eneo muhimu kwa uhalifu uliopangwa.( Organized Crime) Afrika Mashariki na Kusini inachukuliwa kuwa sehemu kuu ya...
1 Reactions
3 Replies
509 Views
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika? Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na...
4 Reactions
29 Replies
994 Views
Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000...
2 Reactions
3 Replies
319 Views
Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Jamani naombeni kuuliza hivi ni sawa mzazi, baba au mama kujua kiwango cha mshahara wangu?
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza?? Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Kama KUNA WATU wame experience hii issue tujuzane. Maxence Melo Kwingine nateleza vizuri tu
0 Reactions
8 Replies
360 Views
Habari wakuu Hapa jf tusaidiane Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane Naomben jaman plz
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom