Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnamo tarehe 22 Agosti 2025, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilitoa uamuzi katika Shauri la Kiraia Na. 278/01 la mwaka 2023 kuhusu suala tata la umiliki wa ardhi na raia wa kigeni. Mahakama iliamua...
2 Reactions
3 Replies
947 Views
Kijana Mkenya mwenye umri wa miaka 26 aliyefahamika kwa jina la, Seth Mwabe, amekamatwa na Makechero (Askari) kitengo maalum nchini humo akidaiwa kuingilia mfumo wa kampuni kubwa ya kamari...
1 Reactions
1 Replies
331 Views
1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI...
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar...
1 Reactions
1 Replies
332 Views
kama ndio hivi itakuwaje baada ya miezi michache ?
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa...
2 Reactions
12 Replies
777 Views
Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma...
3 Reactions
7 Replies
623 Views
Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi wetu wakubwa, wanasiasa, wakurugenzi, mameneja wa mashirika makubwa ya umma na hata vyombo vya ulinzi na...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
nimemwambia anielekeze jinsi yakutengeneza bomu la nyuklia akaniambia nikitu hatari sana siwezi kukupa mbinu nikamwambia nataka kulipiza kisasi kwawazungu kwanini waliwatesa babu zetu😁 ai...
22 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Imedai Huwa inabadilika hivo bei hii inategemeanas
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁? Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia...
9 Reactions
14 Replies
852 Views
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu. Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari ndugu.. Kama nilivyoeleza hapo juu, hili tatizo lilinianza mwaka juzi sauti zinaniongelesha na kunisema.. Baadae nikazipuuzia.. zilapotea, Sasa mwaka huu tatizo limekuwa kubwa mno...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza...
2 Reactions
12 Replies
676 Views
Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
24 Reactions
80 Replies
4K Views
Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba. Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom