Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Traffic wanakaa pale Kibamba Bwawani, wanachukua elf 5 kwa kila daladala za Kutoka Kibaha. Imekuwa ni kama mradi kwao, hawakagui magari ni konda anashuka anawapelekea elf 5 gari inaondoka...
3 Reactions
11 Replies
559 Views
Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata. Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa...
19 Reactions
300 Replies
22K Views
Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe. Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya. Cc Boss la DP World
3 Reactions
15 Replies
685 Views
Saum Hussein Rashid, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, basi serikali yake itaweka nguvu kwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata malighafi kila mkoa ili kujihimarisha na kujikwamua...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Watu wengi huwa wanawalaumu, kuwatukana na hata kuwachukia machawa wakiamini mtu anaweza kuacha uchawa tu akiamua. Ukweli ni kwamba sio rahisi kuondokana na uchawa kama ambavyo sio rahisi kuwandoa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
💭 Naam sio filamu za kuigiza Tena ni maisha Halisi, kwa miaka mingi Teknolojia ya Magari ya kupaa iliweza kugunduliwa toka mwaka 2015 kupitia kwa jamaa mmoja anaitwa Tim Draper. 💭 Kampuni ya Alef...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Yote kwa yote The Don Rostam Aziz anajua kuitafuta pesa, kila penye neema yumo, rai yangu azalishe ajira nyingi kwa vijana wa Tanzania Pamoja na yote yanayoendelea mitandaoni mwisho Don Rostam...
2 Reactions
18 Replies
793 Views
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi...
0 Reactions
4 Replies
317 Views
Huu uzi uende sambamba na nyuzi hizi. https://www.jamiiforums.com/threads/sare-za-traffic-wa-uganda-ni-za-ovyo-ukanda-huu-wa-afrika-mashariki.1983812/...
2 Reactions
3 Replies
358 Views
💭 Kwa muda mrefu sana watumiaji wa Simu za Android walitamani mtu awe na uwezo wa ku control mwanga wa tochi unaotoka kwenye Simu kama ilivyo kwenye iphone. 💭 Hatimaye Google kuleta feature mpya...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
3 Reactions
17 Replies
913 Views
Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao...
10 Reactions
139 Replies
5K Views
Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa...
2 Reactions
3 Replies
563 Views
Back
Top Bottom