Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sekta ya usafiri wa anga barani Afrika inaendelea kukua, ikichochewa na maendeleo ya kiuchumi, utalii na ongezeko la miunganisho ya kikanda. Viwanja vya ndege barani humo vinazidi kuwa kitovu cha...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi...
2 Reactions
3 Replies
627 Views
Baadhi ya kanisa wilayani Kalambo mkoani Rukwa, yanadaiwa kuwalipisha shilingi 60,000, waumini wao ili waombewe wapate kazi.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mdau anaomba ushauri Ni mwaka 2006 niliponea chupu chupu kufungwa, Nilikuwa n.a. Kesi ya kudaiwa 30,000,000 nikaandikiwa Kujipatia kwa udanganyifu, Mwanasheria akanishauri nitafte kiasi million 3...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari ya jumamosi wakuu, Ninajiuliza swali watanzania waishio ulaya ukiwaomba link watakujibu Maisha ya huku magumu huyawezi mtu wangu, bora ningejua nisingekuja ni bora kukomaa bongo, lakin wao...
12 Reactions
111 Replies
56K Views
https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na...
3 Reactions
4 Replies
471 Views
Tanganyika Kuna watumishi walimu wapatao takribani laki mbili na nusu kwa takwimu za mwaka 2020. Hawa wangeambiwa kila mmoja atoe elfu thelathini 30,000/= ingepatikana Bilioni 6. Hii ingetosha...
1 Reactions
2 Replies
234 Views
Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa...
12 Reactions
57 Replies
5K Views
Sasha Alex hapa alitulia sana
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Anonymous
Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji...
0 Reactions
7 Replies
446 Views
Mzuka Wana Jamvi.. Binadamu ni waasi na ni waovu.. Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanampopoa Magu na kufurahia kifo chake kana kwamba tokea uhuru Magu ndio alikuwa raisi pekee na kuleta matatizo...
16 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu mpo salama? Jana (August 19) tulishuhudia mengi back to back, huku RPC akahamishwa nkule watuhumiwa wakafikishwa mahakamani, lakini kwaini watuhumiwa wanne? Walikuwa 6 ikiwemo na yule...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii… Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa...
4 Reactions
15 Replies
902 Views
Anonymous
Tunaomba Serikali ifanye utaratibu wa kutafuta jengo lingine kwani jengo hilo halina hadhi ya kuwa bank pia mvua ikinyesha inaleta adha kubwa sana kwa wateja.
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous
Ujumbe huu ufike kwa Afisa Elimu (Wilaya/Mkoa), Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe Ndugu Afisa Elimu, Napenda kuwasilisha lalamiko juu ya hali ya uzembe unaoendelea katika baadhi ya shule za...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Back
Top Bottom