A
Anonymous
Guest
Huu utaratibu wakukusanya hela ya takataka naona haupo sawa kwa kiasi kikubwa kama nyumba ni moja halafu hela ya takataka inakusanywa kila chumba si sawa na kama haya ni malipo ya Serikali na ni mapato stahiki ya serikali basi kuwepo na system ya kufanya malipo kwakutumia control namba.
Kukiletwa hoja ya kiasi kidogo cha gharama basi kila nyumba yenye namba( anuani ya makazi) ifanye malipo kwa mwaka na si huu utaratibu wa sasa unaondelea.
Wizara ambayo ina jukumu hili la usafi na mazingira ulitathmini hili suala kwa kina wananchi wanaumizwa.
Risiti ya tarehe moja mwezi wa saba inakabidhiwa kwa mtoa taka Agosti 30, mashine za EFD kwa upande wa takataka zinachakachuliwa.