Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda...
Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye
Juzi mmoja wao...
Yohana 16:12 (Biblia) inasema:
"Bado nina mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa."
Hii ni kauli ya Yesu alipokuwa akizungumza na wanafunzi wake kabla ya kusulubiwa kwake...
Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu.
Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni.
N.K.
Tuzo za Nobel ni miongoni mwa heshima kubwa zaidi duniani katika kutambua mchango wa kipekee wa wanadamu katika nyanja za sayansi, fasihi, na amani. Zimekuwa dira ya juhudi za ubinadamu kwa zaidi...
Makala ya Tatu
Ndugu zangu,
Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima...
Leo nimekuwa nikisoma Ilani ya CCM kuangalia masuala mbalimbali waliyoeleza kwenye sera yao kwenye harakati zao za kuomba ridhaa kuendelea kuongoza.
Theoretically, Ilani ya Chama inabidi kuelezea...
Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu.
Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina...
HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA..
Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio...
Mommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu....zenu wote"
Bora hao...
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha...
Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika...
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.
kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho...
Kuteki mambo kibinafsi ni hali ya ubinafsi uliopitiliza, au kwa lugha nyingine, umuhimu wa kibinafsi. Hii ina maana ya kujipa kipaumbele kuliko kitu kingine chochote.
Na huo ndio mwanzo wa...
Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa...