Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban, Miaka 29, Mganga wa tiba asilia na Mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira...
Habari wanabodi
Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama...
Wadau kwema,
Wiki hii kumeibuka video ya kijana mdogo maarufu kwa jina la Kunku (Mtu wa kazi), ambaye ametrend mitandaoni baada ya kukutwa akiiba mbao zilizokuwa zikitumika kutengenezea mabango...
Katika pitapita huku na kule nikakutana na video, ikionyesha models katika majukwa cha KUSHANGAZA ni Moja wa models alipo tumia jukwa Hilo kuomba Dunia kutupia macho ukatili unao endelea Gaza...
Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi....
Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi...
Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga?
Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana.
Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine.
Pesa zikiingia kwenye namba ya...
Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa...
Ni kama Scenario ya Mgahawa..., kuna wateja wamekuja kuburudika sisi kama dunia (wenye mgahawa) kwa busara zetu tunajua wateja wote ni wafalme.., sasa kuna huyu mteja mmoja analeta sintofahamu...
Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki.
Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama...
Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo...
Habari za wakati huu
Naombeni msaada au kama kuna wahusika moja kwa moja wanipe msaada niweze kupata bima ya afya.
Ndugu yangu amepata ajira serikalini mwaka huu, tangu aingie kazini amekuwa...
"We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza...
Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam!
Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka...
Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa...
Huu msemo kwamba binadamu wote ni sawa huwa na maana gani?
Mbona kuna baadhi ya binadamu mfano Wajapan na Wazungu huwa wanafanya mambo yanaonekana kama ni viumbe kutoka sayari nyingine!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.