Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini NSSF Wasiweke Mfumo wa Riba Kwenye Michango ya Wanachama Wao? NSSF chini ya sheria yake inamuagiza mwajiri kuwasilisha 20% ya ujira wa kila mfanyakazi wake kila mwezi, ambapo sheria...
5 Reactions
5 Replies
805 Views
Nchi ya Rwanda imeweka historia ya kipekee Duniani kupitia masuala ya Usafiri baada ya kuzindua gari ya kwanza ya abiria isiyo na rubani ambayo inapaa na kujiendesha yenyewe katika bara la Afrika...
1 Reactions
9 Replies
642 Views
Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
6 Reactions
16 Replies
926 Views
Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga...
2 Reactions
13 Replies
687 Views
eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika. jembe mwamba alivokuja...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine...
76 Reactions
244 Replies
9K Views
Wakuu, Je, hatma ya polepole baada ya kumaliza kuzungumza haya iko wapi? Je, ataonekana hadharani au ataendelea kuwa mafichoni? Je, baada ya utawala wa rais samia anaweza kurejea? Kuhusu...
1 Reactions
18 Replies
993 Views
Three suitors one husband Atino Things fall apart Hawa the bus drive Mabala the farm Ngoswe penzi kitovu cha uzembe Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii Roll royce Aston martin hapa ata uajiriwe...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Kwa sababu, kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na mwalimu kutokueleweka darasani. Iwe ni shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu n.k Mwalimu au mkufunzi aliyebobea vizuri kwenye...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
== Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi? Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana...
19 Reactions
101 Replies
5K Views
Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakristo wenzangu naombeni majibu. Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale. kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Ndugu zangu, habari ya mjini ndio hii. Kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya kidini nchini Israeli ametamka wazi mbele ya Rais Trump kuwa Waisraeli wanajiandaa kujenga hekalu la tatu, kubwa, mjini...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza...
13 Reactions
113 Replies
5K Views
Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia...
18 Reactions
189 Replies
6K Views
Back
Top Bottom