Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi?
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025.
Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati...
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.
Nafahamu...
Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu.
Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na...
Hili nalizungumza nikiwa na ushahidi wa wazi kabisa kupitia Regional managers wa baadhi ya benki.
Akaunti mnazofungua kwa siri na kuweka fedha bila kuwahusisha warithi wenu mjue mtakapofariki...
Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu...
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu:
Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo...
Kumbukumbu la Torati 20:1
[1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe...
Ingawa leo hii ardhi ya Hijaz haina kabisa wafuasi wa Uyahudi na Ukristo au dini nyingine yoyote isipokuwa Uislamu, isipokuwa kwa baadhi ya wageni au wafanyakazi wa kigeni, wanahistoria wengi...
NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15
MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi...
Ufafanuzi wa Mh Rostam Aziz kuhusiana na umiliki wa Migodi unadhihirisha kuwa Polepole ametengeneza uzushi wa kuchafua biashara za Mh Rostam Aziz na inaweza kumgharimu Polepole kwa kiasi kikubwa...
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile...
Waungwana ama kweli asiye na bahati habahatiki.Ilikuwa Siku ya Jumatano tr 10/7/2019.Ambapo katika pitapita zangu nilikutana na jamaa mmoja aliyekuwa anauza vitaru vyake vya miche ya matunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.