Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

(JF for life) Wakuu JF ni kama nyumbani kwetu, tena ni zaidi ya kijiwe bora kwa wakati wote, kukaa kimya bila kuingia humu ni sawa na kukaa bila kula kwa siku 90 za adhabu kwetu, tusikae kinyonge...
3 Reactions
4 Replies
249 Views
Nimejaribu kuifungua kawaida imegoma mpaka nimewasha VPN au washafanya yao??
3 Reactions
23 Replies
571 Views
Habari zenu Wana Jambi Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza...
1 Reactions
5 Replies
345 Views
Serikali inayojiamini hawezi kuzuia vyombo vya habari kama kweli serikali inatenda haki kwa wananchi wake kwaninj imenye social media freedom? Hatuwezi kuimba mapambia ya kumsifi mtu fulani...
2 Reactions
9 Replies
419 Views
Kwenu mnaomuelewa
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wanajamvini, nimekuja na hii mada sio kwamba Nina ugomvi na Boss wa Azam, au Nina Nia ya kuua biashara yake ya tax, ambapo mwezi Jana ameongeza tax boti mbili Ili kurahisisha uvushaji wa...
1 Reactions
7 Replies
421 Views
Kuna watu wanauliza kama Jupiter na Saturn zikiwa active yaani zikiwa zinazalisha mwanga (solar energy) kama ilivyo jua siitakuwa hatari kwa sayari kama dunia, Mars, Venus na Mercury Kabla...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Jana nilishinda vibaya baada ya habari za uvamizi wa JF.. Nilitafakari mengi! Leo ndio tumepigwa TKO kabisa! Msisha bila JF kwa miezi mitatu😭😭😭😭😭😭
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya...
3 Reactions
14 Replies
885 Views
Nilianza na DSTV Compact, baada ya muda nikaona ni package ambayo hakuna lolote la maana linaloonyeshwa. Nikaenda Compact Plus, karibu mwaka mzima. Nikajikuta naangala sinema aidha za zamani sana...
23 Reactions
101 Replies
4K Views
Binafsi hoja na maoni ya kufungia jukwaa pendwa la JF kwangu si sawa, uhuru wa kujieleza umekandamizwa!, kimsingi hoja zinazo tolewa JF ziwe na mantiki au hazina, kisiasa au kijamii, ni hoja...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Binafsi sikuwahi kumsikia huyu jamaa akiongea Leo ndo namsikiliza hapa Jahazi HD. Ase jamaa anaongea sana sikutegemea kabisa. Watu wa tech si waongeaji sana. Mwanzo nilikua naona picha zake...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Facebook kule ni mtandao wa marekani, kule samia mpaka trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi. Kule Tiktok ni wa china kule raisi wa china...
4 Reactions
8 Replies
500 Views
Ukisikia MWIZI, MWIZI, MWIZI !! kinachofuataga ni hiki unachokiona kwenye hizi video'' Wapo pia ambao sio wezi, wameitwa wezi kwa kusingiziwa
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Yaani mimi kujiunga leo JF inafungwa, alooo kwanini?
7 Reactions
18 Replies
769 Views
Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji. 1. Lindi 2.......... 3...........
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Anonymous
Kumekuwa na kero sana hapa Dodoma mitaa Minginkila soda ya Cocacola unayonunua hasa hizi za take away unakuta tarehe ya kuharibika imefika au bado kidogo lakini pamoja na hayo pia ladha yake...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa...
2 Reactions
3 Replies
508 Views
Back
Top Bottom