Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo...
Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona...
Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao...
Katika historia ya ulimwengu, tumeshuhudia matendo makuu yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu, kama vile wagonjwa kupona, viwete kutembea, mabubu kuongea, vipofu kuona, wafu kufufuka, na bahari...
Tulioumizwa na Ukatili alioufanya kwa Kumjeruhi vibaya Mtu aliyemhisi Kutembea na Mkewe ( Mama Zai ) kwa Kumkata Sikio na Kidole kwa Kisu Kikali na Panga kisha kuviweka katika Handkerchief yake na...
Ndugu Watanzania!
Kwa moyo mzito ninapenda kuwajulisha kuwa Askofu Maximilian Machumu maarufu kwa jina la Mwanampinduzi amelazimika kuikimbia nchi kuokoa maisha yake! Ameomba mimi nifikishe...
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni...
Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020...
Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta?
Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali.
Kuna...
Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa...
Hata kama ni serikali wafuate utaratibu wa kuingia kwenye ofisi za watu na sio kuvamia hovyo hovyo tu
Nashauri mwanasheria wa JF afungue kesi zidi ya wavamizi hao
Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora...
Kwa Uelewa wangu watendaji kazi wakubwa wa ulinzi wa ndani ya Nchi ni Usalama wa Taifa, na hawa wanapaswa kuwa makini sana na kila kitisho kinachotokea katika nchi kabla hata hakijafika polisi...
Habari za asubuhi.Kuna habari za chinichini wilayani Kilindi Tanga kuwa kuna baadhi ya viongozi wataburuzwa mahakamani muda wowote kuanzia jumatatu ya tarehe 08.09.2025.
"Kimya kingi kina...
Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.