Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya...
4 Reactions
6 Replies
476 Views
Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza! Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako Britanicca
19 Reactions
26 Replies
1K Views
Katika maadhimisho ya miaka 10 ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dkt. Peter *******, amesema kuwa licha ya mafanikio waliyoyapata katika kipindi hicho...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa...
3 Reactions
6 Replies
511 Views
Habari wakuu, naomba kuuliza maswali machache na wachahe wajuaji wanijibu. 🫵 Ninaamini Mungu ni mmoja, na binadamu wote tunapigania kumuabudu na kumfuata kwa njia sahihi. [emoji654] Je...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mwajiriwa natokea mkoa wa Manyara,nimehamishiwa kikazi mkoa wa Katavi wilaya ya Mlele. Naomba mnijuze ni fursa gani naweza fanya ya kujipatia kipato nje na ajira yangu kada ya...
1 Reactions
12 Replies
971 Views
Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la...
1 Reactions
6 Replies
391 Views
Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
15 Reactions
128 Replies
4K Views
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake...
13 Reactions
147 Replies
24K Views
Habarini Ndugu zangu! Samahani sana kijana mwenzenu nahitaj msaada au ushauri kwa maana mara nyingi huwa naota ndoto nyingi za ajabu na za kutisha lakini nikishtuka au hata kukicha nasahau matukio...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Lunar eclipse (kupatwa kwa mwezi) ni tukio lenye nguvu kubwa za kiroho na kisaikolojia, hasa katika tamaduni, dini na kiimani. 1. Nguvu za Mabadiliko (Transformation Energy) Kupatwa kwa mwezi...
4 Reactions
13 Replies
926 Views
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo...
2 Reactions
1 Replies
665 Views
Wahenga walisema penye nia hapokosi njia, hatimae leo tunashuhudia jambo jipya na ambalo unaweza kufikiri haliwezekani, Timu ya vijana 13 wa kitanzania mkoani Morogoro wamefanikiwa kupaa angani...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani... Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndoto za wachawi ni tofauti kidogo na ndoto takatifu. Wachawi wanapo hitaji kuona sehemu nyingine wanafanya nini na wanasema nini, Huwa wanalala ubavu mmoja upande wa kushoto kwa jina la mungu wao...
1 Reactions
3 Replies
311 Views
NRNE Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa. Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa...
6 Reactions
17 Replies
671 Views
Wakuu nimesahau kuchukua risit ya mafuta gar la kampuni kama Kuna mtu ana mawasiliano na sheli iliyo lewate naomba mawasiliano
2 Reactions
13 Replies
575 Views
Tomorrow at 6 pm they are ending WhatsApp and you have to pay to open it, this is by law This message is to inform all of our users, our servers have recently been very congested, so we are asking...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom